TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imeipongeza Malaysia kwa msimamo wake wa kupinga kuanzisha uhusiano na adui Mzayuni.
Habari ID: 3474629 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/02
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imeandaa mkutano wa kuchunguza hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa kwa ajili ya kuandaa Duruy a 28 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3474628 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/02
TEHRAN (IQNA) – Mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri Sheikh Abdul Basit Abdulswamad amesema baba yake alikuwa na sauti ambayo mbali na Waislamu inawavutia pia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3474626 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01
Msomi wa Lebanon
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Kiislamu nchini Lebanon amesema kuna haja ya kupitishwa sheria za kimataifa ambazo zinapiga marufuku uibuaji mifarakano na migongano baina ya wafuasi wa madhehebu mbali mbali za Kiislamu.
Habari ID: 3474620 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30
Rais wa Iran katika mkutano na Rais wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo na changamoto za kieneo zinapaswa kutatuliwa na nchi za eneo na kwamba uingiliaji wa kigeni hausaidii lolote bali unachochea na kuvuruga zaidi hali ya mambo.
Habari ID: 3474617 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/29
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya Tano ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Wanawake Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wametangazwa.
Habari ID: 3474613 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA)- Sayyid Hassan Nasrallah amesema kuliweka jina la Hizbullah kwenye orodha ya makundi ya kigaidi hakutaathiri hata chembe azma na irada ya muqawama au mapambano.
Habari ID: 3474609 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/27
TEHRAN (IQNA)- Iran imetangaza kubuni timu ya makundi manne kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qurani ya wanafunzi.
Habari ID: 3474595 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/24
Rais wa Iran akimpokea Balozi wa Vatican
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la umanaawi ni jambo la udharura mkubwa hii leo kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3474593 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA) –Waislamu kote nchini Misri wameshiriki katika Sala ya Istisqa yaani Sala ya Kuomba Mvua.
Habari ID: 3474589 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/22
TEHRAN (IQNA) - Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuitaja kama nguzo kuu na muhimu ya mrengo wa muqawama wa Wapalestina.
Habari ID: 3474587 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/21
TEHRAN (IQNA)- Sekretarieti ya Kudumu ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina Katika Bunge la Iran imelaani vikali hatua ya serikali ya Uingereza ya kuiweka Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS katika orodha ya makundi ya kigaidi.
Habari ID: 3474583 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeruhusiwa tena nchini Brunei baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi mitatu.
Habari ID: 3474580 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya imefichua kuwa utawala haramu wa Israel unaunga mkono wagombea wawili katika uchaguzi wa rais utakaofanyika Libya mwezi Disemba.
Habari ID: 3474576 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Vituo vya Masomo ya Qur’ani vya Baraza la Jiji la Tehran vitaanza tena masomo ya ana kwa ana baada ya kufungwa kwa muda mrefu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474570 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17
TEHRAN (IQNA)- a Iran unaweza kuandaa uwanja wa kujaza mapengo ya kielimu ya nchi na ikawezekana kuvuka mipaka ya kimataifa ya kielimu, na hivyo kuleta ustaarabu mpya wa Kiislamu na kuwa na mustakabali unaong’ara.
Habari ID: 3474568 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17
TEHRAN (IQNA) = Huduma mpya imezinduliwa kwa ajili ya Waislamu walionje ya Saudi Arabia ambao wanataka kutekeleza Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3474555 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Kinara mmoja wa kundi la kigaidi la Al Qaeda amekiri kuwa kundi hilo linashirikiana kwa karibu na muungano vamizi wa Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3474550 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Madhehebu ya Shia katika jimbo la Herat nchini Afghanistan wameitaka serikali ya Taliban kurejesha kamati za usalama ili kulinda misikiti ya Mashia ambayo inakabilia na tishio la kushambuliwa na magaidi wakufurushaji wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474542 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Watu wanaoaminika kuwa na chuki dhidi ya Uislamu sasa wanalenga biashara zinazomilikwa na Waislamu nchini Marekani.
Habari ID: 3474541 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11