TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Vita Vya Siku 33 vilibadili kanuni za mapigano kwa maslahi ya Lebanon na kuthibitisha utambulisho halisi wa utawala wa Kizayuni na kiwango cha udhaifu wake.
Habari ID: 3473068 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/15
TEHRAN (IQNA) – Wafuasi wa kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja wakitaka serikali imuachilie huru.
Habari ID: 3473062 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/13
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Algeria imesema misikiti 4,000 nchini humo iko tayari kufunguliwa baada ya kutimiza masharti yanayotakiwa katika kipindi hiki cha janga la COVID-19 au corona.
Habari ID: 3473053 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/10
TEHRAN (IQNA) – Polisi katika jimbo la Minnesota Marekani wanawasaka vijana wawili ambao walimpiga na kumuumiza kiongozi wa Waislamu katika eneo hilo.
Vijana hao wawili wanakisiwa kuwa na umri wa miaka 20 hivi na mmoja ni mzungu huku mwingine akiwa na asili ya Afrika.
Habari ID: 3473050 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Canada imeongeza walinzi wa Ali Saad al-Jabri, mkuu wa zamani wa Idara ya Ujasusi ya Saudi Arabia ikihofia kuuawa na serikali na Saudi Arabia.
Habari ID: 3473049 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Qur’ani (Darul Qur’an) katika Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Imam Hussein AS huko Karbala, Iraq imeandaa darsa za Qur’ani katika msimu wa joto.
Habari ID: 3473047 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
TEHRAN (IQNA) – Watu 1,700 wamejisajili kushiriki katika Mashindano ya 30 ya Qur’ani Tukufu nchini Oman.
Habari ID: 3473046 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
Sayyid Hassan Nasrallah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mlipuko uliotokea katika bandari ya Beirut ni janga kubwa la kibinadamu na kitaifa.
Habari ID: 3473045 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/08
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe kufuatia tukio la mlipuko katika bandari ya Beirut nchini Lebanon na kutangaza kuwa pamoja na serikali na wananchi wa nchi hiyo katika kipindi hiki kigumu.
Habari ID: 3473039 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/06
TEHRAN (IQNA) - Serikali ya India imepiga marufuku watu kutoka nje katika eneo la Kashmir na kuweka hatua kandamizi za usalama wakati huu kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu New Delhi ilipofuta mamlaka ya utawala wa ndani katika eneo hilo lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu.
Habari ID: 3473038 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05
TEHRAN (IQNA) - Mlipuko mkubwa umejiri Jumanne Agosti 5 2020 katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut na kusababisha zaidi ya watu 100 kupoteza maisha na wengine wasiopungua 4,000 kujeruhiwa.
Habari ID: 3473036 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05
TEHRAN (IQNA) – Rais Hassan Rouhani wa Iran amemtumia ujumbe wa rambi rambi mwenzake wa Lebanon Michel Aoun kufuatia miripuko iliyojiri katika mji mkuu wan chi hiyo Beirut.
Habari ID: 3473035 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/05
TEHRAN (IQNA) - Mlipuko mkubwa umeutikisa mji mkuu wa Lebanon, Beirut ambapo taarifa zinasema watu wasiopungua 100 wamepoteza maisha. Yamkini idadi hiyo ikaongezeka kwani baadhi ya waliojueruhiwa wako katika hali mahututi.
Habari ID: 3473034 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/04
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Muqawama ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unatekeleza mashambulizi katika Ukanda wa Ghaza lengo likiwa ni kuwahamishia wananchi wa Palestina migogoro ya ndani ya utawala huo na kupotosha fikra za walimwengu kuhusu matukio na hali mbaya ya kisiasa inayoukabili sasa utawala wa Israel.
Habari ID: 3473028 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03
TEHRAN (IQNA) – Qarii kutoka Tanzania ameibuka mshindi katika mashindano ya kusoma Qur’ani (qiraa) ya Chuo Kikuu cha Al Qasimia cha Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari ID: 3473023 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01
TEHRAN (IQNA) – Misikiti katika mji mkuu wa China, Beijing iliandaa Swala ya Idul Adha siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3473021 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/01
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uturuki leo wameshiriki katika Swala ya kwanza ya Idul Adha katika Msikiti wa Hagia Sophia mjini Istanbul.
Habari ID: 3473018 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ujumbe wa Idi
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono na kheri na fanaka na kuwapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa Sikukuu hii kubwa ya Idul Adh'ha.
Habari ID: 3473016 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/31
TEHRAN (IQNA)- Kuna idadi kubwa ya qiraa za qarii mashuhuri wa Misri Sheikh Sayyid Mutawalli Abdul Aal aliyeaga dunia mwaka 2015.
Habari ID: 3473013 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29
TEHRAN (IQNA) –Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) yenye makao yake London, Uingereza imeitaka serikali ya nchi hiyo imuachilie huru mara moja mwanazuoni wa Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake ambao wamekuwa wakishikiliwa kizuizini tokea mwaka 2015 kwa mashtaka yasiyo na msingi.
Habari ID: 3473012 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/29