iqna

IQNA

shirika la habari la qurani
TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu wametangaza kuwa, wanawake sasa wataruhusiwa tena kusali misikitini baada ya maeneo yao kufungwa kwa muda kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474539    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA) – Spika wa bunge lililosimamishwa kazi la Tunisia amesema atajiuzulu iwapo hilo litatatua matatizo ya kisiasa nchini Tunisia.
Habari ID: 3474536    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wenye ulemavu wa macho yameandaliwa hivi karibuni nchini Iraq.
Habari ID: 3474528    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA)- Misikiti mitatu Ufaransa imehujumiwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Jumapili katika miji ya Montlebon, Pontarlier, na Roubaix.
Habari ID: 3474527    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08

TEHRAN (IQNA) – Kitabu chenye anuani ya "Chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia): Kabiliana Nayo kwa Jina la Amani" kimechapishwa kwa lugha ya Kiingereza nchini Ujerumani kwa ajili ya watoto.
Habari ID: 3474515    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04

TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaripotiwa kuitembelea Sudan kwa siri na kificho, muda mfupi baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika Oktoba 25 mwaka huu katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3474510    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdul Rashid ni mhubiri maarufu kaika Kituo cha Waislamu cha As-Siddiq mjini New York ambaye hotuba zake huwa na mvuto kutokana na mbinu yake ya kusoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474507    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/03

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Singapore imetangaza kupiga marufuku kitabu ambacho kina taswira zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474506    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Hizi hapa ni picha za baadhi ya misikiti ya bara la Afrika kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hikma kiko katika kijiji cha Dandaji nchini Niger.
Habari ID: 3474502    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Katika kulalamikia matamshi yaliyotolewa siku ya Ijumaa na George Kurdahi , Waziri wa Habari wa Lebanon aliyekosoa uvamizi wa Saudi Arabia na Imarati huko Yemen na kuutaja kuwa usio na maana, Saudia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut na kumtaka balozi wa Lebanon pia aondoke nchini humo mara moja.
Habari ID: 3474498    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01

TEHRAN (IQNA)- Mtawala wa Jimbo la Selangro nchini Malaysia ameamuru idadi ya waumini wanaoshiriki katika Sala ya Ijumaa misikitini iongezwe.
Habari ID: 3474494    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Ulaya (EU) umekariri wito wake kwa utawala haramu wa Israel usitishe mpango wake wa kujenga vitongoji zaidi vya walowezi wa Kizayuni katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3474486    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA) – Jamhuri ya Azerbaijan imewafungia watumizi wa inteneti nchini humo tovuti ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa.
Habari ID: 3474473    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Waislamu wa Croatia amesema, Mkutano wa Umoja wa Kiislamu ni jukwaa la kuelezea hali ya sasa ya nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3474448    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Iran amesema wazo la kuzikurubisha pamoja madhehebu za Kiislamu lililobuniwa na Imam Khomeini (MA), Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ni hatua ya kistratajia katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474444    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA)- Ayatullah Mohammad Ali Taskhiri (1944-2020) anatajwa kama mmoja kati ya maulamaa mashuhuri zaidi duniani waliokuwa mstari wa mbele kutetea umoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3474441    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina amelaani vikali safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel nchini Morocco na kubainisha kuwa, ziara hiyo haikubaliki.
Habari ID: 3474182    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/12

TEHRAN (IQNA)- Mahakama Kuu ya Jimbo la Kaduna nchini Nigeria Jumatano ilifutilia mbali tuhuma zote alizobambikiziwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na mkewe, na kutoa amri ya kuachiliwa kwao mara moja.
Habari ID: 3474142    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/30

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Qur’ani ya Tawjih na Irshad ya Lebanon imetangaza washiriki 10 bora wa Mashindano ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur’ani ya Oula-al-Qiblatain.
Habari ID: 3474106    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/16

TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 14 la Umoja wa Kiislamu limefanyika London, Uingereza Ijumaa Julai 9.
Habari ID: 3474088    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10