iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
Habari ID: 3471758    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/02

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza mpango wa kukarabati misikiti zaidi ya 1,000 nchini humo na imetaka ushirikiano wa sekta mbali mbali katika kufikia lengo hilo.
Habari ID: 3471755    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/29

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Duru ya pili ya Mashindano ya Qur'ani ya Majeshi ya Iraq wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika Jumanne.
Habari ID: 3471754    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/28

TEHRAN (IQNA)- Mji wa Osaka, Japan umeimarisha mikakati yake ya kusambaza bidhaa na huduma halali kwa lengo la kuwavutia watalii na wafanyabiashara Waislamu.
Habari ID: 3471753    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/27

Kiongozi wa Hamas
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amehutubu katika Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran na kusema: "Utawala wa Kizayuni ni adui mkuu wa Umma wa Kiislamu."
Habari ID: 3471750    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24

Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)-Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya Waislamu kuungana na kusimama imara kukabiliana na siasa za chuki za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471749    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/24

TEHRAN (IQNA)- Watoto zaidi ya 84,700 wa Yemen wamepoteza maisha kutokana na makali ya njaa na utapiamlo, tangu Saudi Arabia ianzishe vita dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita.
Habari ID: 3471748    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/22

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 53 wameuawa shahidi katika shambulizi la kigaidi lililolenga mkusanyiko wa Waislamu waliokuwa katika sherehe za Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.
Habari ID: 3471747    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/21

TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Taasisi za Kiislamu Brazil imezindua kampeni yenye anuani ya "Muhammad SAW, Mtume wa Walimwengu" kwa lengo la kumuarifisha Mtume Mtukufu wa Uislamu.
Habari ID: 3471746    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/20

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kidini ya Tunisia imeandaa kongamano kuhusu Seerah ya Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471744    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/18

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madehehbu za Kiislamu amesema wanazuoni, wanaharakati wa kisiasa na wasomi kutoka nchi 100 wamealikwa kushiriki katika Kongamano la 32 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu ambalo limepangwa kufanyika mjini Tehran.
Habari ID: 3471743    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/17

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema: Mapambano (muqawama) ya Palestina yamevuruga mahesabu ya adui na kubadilisha mlingano wa nguvu.
Habari ID: 3471742    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/15

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewapongeza wanamichezo wa kike Wairani ambao wanashiriki katika michezo ya kimataifa wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471741    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/14

TEHRAN (IQNA) – Utawala wa China unaendelea kupuuza malalamiko ya dunia kuhusu kuendelea kuteswa Waislamu waliowachache nchini humo.
Habari ID: 3471740    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/13

TEHRAN (IQNA) - Mahakama Kuu ya Trinidad na Tobago imetoa hukumu ya kuwaruhusu kuvaa Hijabu maafisa wa polisi wa kike ambao ni Waislamu.
Habari ID: 3471738    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/11

TEHRAN (IQNA)- Mfuko mkubwa zaidi wa Kiislamu wa mafao ya uzeeni umezinduliwa nchini Kenya na kupewa jina la Salih.
Habari ID: 3471736    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/10

TEHRAN (IQNA) -Zaidi ya nusu ya Wayemen, takribani watu milioni 14, wanakabiliwa na baada la njaa kutokana na hujuma ya kijeshi inayoongozwa na Saudia dhidi ya taifa hilo masikini zaidi katika bara Arabu.
Habari ID: 3471734    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/08

TEHRAN (IQNA) - Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu, Muhammad al Mustafa SAW aliaga dunia tarehe 28 Safar mwaka wa 11 Hijiria katika mji mtakatifu wa Madina akiwa na umri wa miaka 63 na kuzikwa katika mji huohuo.
Habari ID: 3471733    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/07

TEHRAN (IQNA)- Maulamaa na Waislamu wa matabaka mbali mbali wa madhehebu ya Sunni nchini Iran wameungana na wenzao wa Kishia kufanya ziara katika Haram ya Imam Ridha AS , mmoja wa wajukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW ambaye pia ni Imam wa Nane wa Waislamu wa Kishia.
Habari ID: 3471732    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/07

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya walemavu wa macho yamemalizika Jumapili mjini Tehran kwa kuteuliwa wawakilishi wa Iran katika Awamu ya Nne ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho.
Habari ID: 3471731    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/06