TEHRAN (IQNA)- Awamu ya tatu ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani maalumu kwa wanawake yameanza Jumapili mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3471730 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/05
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Kutoa Kutoa Mafunzo ya Qur'ani Kupitia Intaneti nchini Kuwait imetangaza kuwa itaandama mafunzo zaidi ya Qur'ani kwa lugha mbali mbali.
Habari ID: 3471728 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kudidimia nguvu na uwezo wa Marekani ni ukweli ambao wataalamu duniani wameafiki.
Habari ID: 3471727 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/03
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wa Chuo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu cha Idlib, Syria wamehitimu katika sherehe ambayo iliashiria kurejea hali ya kawaida katika baada ya eneo hilo kukumbwa kwa muda mrefu.
Habari ID: 3471726 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/01
TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara takribani milioni 15 wamewasili mjini Karbala Iraq kwa lengo la kushiriki Arobaini ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471723 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/29
TEHRAN (IQNA)-Waziri wa Wakfu nchini Misri amesema wizara yake haitaruhusu makundi yenye misimamo mikali ya kidini kuanzisha vituo vya kuhifadhi Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3471722 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/28
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa wale waliosilimu yatafanyika mjini Dubai nchini UAE.
Habari ID: 3471720 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/27
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al-Nejashi nchini Ethiopia, unaoaminika kuwa msikiti kwa kwanza kujengwa barani Afrika, umekarabatiwa.
Habari ID: 3471718 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/24
TEHRAN (IQNA)- Watawala wa jimbo lenye idadi kubwa zaidi ya watu nchini India wamebadilisha jina la Kiislamu wa mji wa kihistoria ambao unajulikana kama Allahabad na kuupachika jina bandia la Kibaniani au Kihindu.
Habari ID: 3471714 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/20
TEHRAN (IQNA)-Moja ya nakala ndogo zaidi za Qur’ani duniani imewekwa katika maonyesho katika mji wa Kusadasi, wilayani Aydin nchini Uturuki.
Habari ID: 3471712 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/19
TEHRAN (IQNA)-Kongamano moja la kimataifa limefanyika Cairo, Misri kwa lengo la kujadili kadhia ya utoaji wa fatuwa katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3471711 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/18
TEHRAN (IQNA)- Meya wa mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini Patricia de Lille amesema idadi Watalii Waislamu wanatarajiwa kuwa kati watakaoleta pato kubwa mjini humo.
Habari ID: 3471710 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/16
TEHRAN (IQNA)- Wasomi kutoka nchi mbali mbali wamekutananchini Uturuki kujadili changamoto za ulimwengu wa Kiislamu chini ya anuani ya 'Kongamano la Kimataifa la Ummah wa Kiislamu."
Habari ID: 3471709 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/15
Kiongozi wa Hizbullah
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Rais Donald Trump wa Marekani anatumia sera ya kueneza propaganda chafu dhidi ya Iran kwa shabaha ya kutaka kuuza silaha za mabilioni ya dola kwa nchi za Kiarabu.
Habari ID: 3471706 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/13
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza mpango wa kuandaa kongamano la ‘Mustakabali wa Ulimwengi wa Kiislamu Kufikia Mwaka 2035.’
Habari ID: 3471705 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/09
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika jimbo la Ohio nchini Marekani wameanzisha mkakati maalmu wa kuhakikisha kuwa wakaazi wote wa eneo hilo wanapata ufahamu sahihi kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3471703 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/08
TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa mahaka za Msumbiji wametangaza kuwa wamewahukumu wanachama 200 wa kundi la al Shabab la magaidi wakufurishaji.
Habari ID: 3471702 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, majimui kubwa ya vijana wa nchi na taifa kubwa la Iran litaushinda wenzo wa mwisho wa adui yaani vikwazo na kutoa kipigo kingine dhidi ya Marekani.
Habari ID: 3471701 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/04
TEHRAN (IQNA)-Jana Jumanne, Bunge la Iraq lilimchagua Barham Salih, kuwa rais mpya na Adil Abdul Mahdi kuwa waziri mkuu mpya wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471700 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/03
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mmoja umehujumiwa huko Ujerumani katika mji wa Gladbeck katika jinai ambayo inasadikiwa imetekelezwa na wanazi mamboleo wanaowachukia Waislamu.
Habari ID: 3471699 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/02