TEHRAN (IQNA)- Kitabu chenye anuani ya "Muziki katika Uislamu" kilichoandikwa na Dkt. Suhair Abdel-Azim kimechapishwa nchini Misri.
Habari ID: 3471644 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/24
TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Myanmar kwa kukwamisha juhudi zinazolenga kuwafikia Waislamu wa Rohingya katika jimbo la Rakhine wanaokabiliwa na hali mbaya.
Habari ID: 3471643 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/23
TEHRAN (IQNA)- Siku kama ya leo miaka 49 iliyopita, inayosadifiana na 21 Agosti 1969, Masjidul Aqswa kibla cha kwanza cha Waislamu, kilichomwa moto na Wazayuni.
Habari ID: 3471641 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/21
TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika mjini Makka Jumapili kubadilisha pazia la al-Kaaba Tukufu linalojulikana kama Kiswa.
Habari ID: 3471640 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu kwa Mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu 1439 Hijria
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika ujumbe wake kwa Mahujaji kwamba sera za Marekani ni kuchochea vita baina ya Waislamu na akasisitiza kwamba: inapasa kuzizima sera hizo za kishetani kwa umakini na kuwa macho na kwamba Hija na kujibari na washirikina vinawezesha kupatikana umakini huo.
Habari ID: 3471639 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Waisalmu milioni mbili kutoka maeneo yote ya dunia wamejumuika katika mji mtakatifu wa Makka kuanza Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471636 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/19
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan amefariki dunia nchini Uswisi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Habari ID: 3471634 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/18
TEHRAN (IQNA)- Mji wa Lausanne nchini Usiwisi umewazuia wanandoa Waislamu kuchukua uraia wa nchi hiyo kutokana na msimamo wao wa kukata kupeana mkono na watu ajinabi.
Habari ID: 3471633 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/18
TEHRAN (IQNA)- Nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu zimesambazwa miongoni mwa Waislamu waliofika katika Msikiti wa Makka maarufu kama Masjid al-Haram katika msimu wa Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471632 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17
TEHRAN (IQNA)- Misikiti miwili imehujumiwa katika mji wa Birmingham nchini Uingereza katika tukio la chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3471631 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17
TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Misri, Sheikh Mahmoud Ismail Sharif, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 75.
Habari ID: 3471630 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matamashi na lugha zisizo na adabu za viongozi wa Marekani kuhusiana na vikwazo, vita na mazungumzo na Iran kusema kuwa, tunasisitiza kwamba, hakutatokea vita na hatutafanya mazungumzo.
Habari ID: 3471628 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/13
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Waislamu nchini China wamekusanyika katika msikiti mmoja kaskazini magharibi mwa nchi hiyo katika maandamano nadra ya kupinga mpango wa kuubomoa.
Habari ID: 3471625 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/11
TEHRAN (IQNA)-Ndege za muungano vamizi wa Saudia zimeshambulia basi lililokuwa limebeba watoto ambao ni wanafunzi wa Qur’ani kati mji wa Dhahiyan wa jimbo la Saada na kuua makumi ya raia wengi wao wakiwa watoto wa shule.
Habari ID: 3471623 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May amekosolewa upya kwa kutochukua hatua za kutosha za kukabiliana na vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu au Islamophobia katika chama chake cha Wahafidhina (Conservative).
Habari ID: 3471622 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/10
TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidiya 90 nchini Marekani wanawania nafasi mbali mbali za uongozi katika ngazi za mitaa, jimbo na kitaifa mwaka huu.
Habari ID: 3471621 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/07
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Kenya wamepinga hatua ya Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo kumteua mwanadiplomasia asiyekuwa Mwislamu kuwa balozi wa nchi hiyo Saudi Arabia.
Habari ID: 3471620 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/05
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wameushambulia msikiti wakati wa Swala ya Ijumaa katika mkoa wa Paktia mashariki mwa Afghanistan na kuua waumini wasiopungua 31 na kujeruhi wengine zaidi ya 80.
Habari ID: 3471619 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/04
TEHRAN (IQNA)- Mahakama ya Uingereza kwa mara ya kwanza imetambua sheria za Kiislamu baada ya kutoa hukumu ambayo imeafiki ndoa iliyofanyika kwa mujibu wa sheria za Kiislamu yaani Nikah.
Habari ID: 3471617 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/03
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Muhammad amesema nchi yake ina azma ya kuwa taifa la Kiislamu lenye kufuata mafundisho ya Qur’ani na Hadithi sahihi.
Habari ID: 3471616 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/02