TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Wakenya wanaoelekea Hija mwaka huu imeongezeka kwa waumini 800 ikilinganishwa na mwaka uliopita.
Habari ID: 3471615 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/01
TEHRAN (IQNA)- Wanachuo zaidi ya 200 waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu wamehitimu katika Kituo cha Masomo ya Qur’ani cha Chuo Kikuu cha Bayero cha Jimbo la Kano (BUK).
Habari ID: 3471614 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Kwanza ya Kuhifadhi Qur’ani Maalumu kwa ajiliya Waalimu wa shule katika mji wa Nairobi yamefanyika.
Habari ID: 3471613 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31
TEHRAN (IQNA)- Mwalimu mmoja aliyeivuinjia heshima Qur'ani Tukufu nchini Kenya katika eneo la kaskazini mashariki anatazmaiwa kufikishwa kizimbani.
Habari ID: 3471612 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/30
TEHRAN (IQNA)- Japan imezindua 'misikiti inayotembea' ambayo itatumika katika Michezo ya Olimpiki na Paralimpiki Tokyo mwaka 2020.
Habari ID: 3471611 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/29
TEHRAN (IQNA) Imran Khan, Mkuu wa chama cha Tehreek-e-Insaf (PTI) cha nchini Pakistan na kilichoshinda uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo amesisitiza kuwa chama chache kinataka kustawisha uhusiano mwema na majirani zake ikiwemo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3471609 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/27
TEHRAN (IQNA)- Mwenyekiti Kitaifawa Baraza la Maimamu na Wahubiri Waislamu Kenya (CIPK) Sheikh Abdalla Ateka ametoa wito kwa wizara ya elimu nchini humo kuchukua hatua za kuzuia kuendelea kubaguliwa wanafunzi Waislamu katika shule za nchi hiyo.
Habari ID: 3471608 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/26
TEHRAN (IQNA) - Waislamu 8 wameuawa baada ya magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram kuushambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria wakati wa Sala ya Alfajiri.
Habari ID: 3471605 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/24
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Saudi Arabia umemkamata mhubiri maarufu na mtetezi wa haki za binadanu Sheikh Ali bin Saeed al-Hajjaj al Ghamdi ambaye aliwahi kuwa mhubiri katika Al-Masjid An-Nabawi mjini Madina.
Habari ID: 3471602 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/21
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umelaaniwa vikali kwa kupitisha sheria mpya ya kibaguzi ambayo inatambua Mayahudi kama bora kuliko Waarabu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3471601 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/20
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Uswizi wamelalamikia ubaguzi unaotokana na kuunasibisha Uislamu na utumiaji mabavu.
Habari ID: 3471600 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/19
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imeutahadahrisha vikali utawala wa Kizayuni wa Israel, kutokana na hatua yake ya kushadidisha mzingiro katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471599 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18
TEHRAN (IQNA)- Ousmane Dembele mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Ufaransa ambaye alinawiri katika Kombe la Dunia hivi karibuni nchini Russia ametangaza kuwa atajenga msikiti katika nchi yake ya asili, Mauritania.
Habari ID: 3471598 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/18
TEHRAN (IQNA) – Wagombea ubunge katika mji la Lhokseumawe katika jimbo la Acheh nchini Indonesia wameshiriki katika mtihani wa kusoma Qur'ani Tukufu kama sharti la kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2019.
Habari ID: 3471597 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa misikiti miwili mitukufu zaidi katika Uislamu ni ya Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3471596 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/16
TEHRAN (IQNA)-Siku kama ya leo miaka 1266 iliyopita, tarehe Mosi tarehe Mosi Dhul Qaadah na kwa mujibu wa baadhi ya riwaya zenye itibari, alizaliwa Bibi Fatwimat Maasuma SA, binti mtukufu wa Imam Musa al-Kadhim bin Ja'far AS ambaye pia ni mmoja wa Ahlul-Bayti wa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3471595 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/15
TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 132 wameuawa hii leo katika milipuko ya mabomu yaliyolenga mikutano miwili ya kampeni za uchaguzi nchini Pakistan.
Habari ID: 3471592 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/13
TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa itatuma msafara wa Qur'ani Tukufu, katika Ibada ya Hija mwaka huu nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3471591 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/12
TEHRAN (IQNA)- Wanaume wawili Waislamu kutoka mji wa Tetova nchini Albania hivi sasa wako safarini kuelekea katika mji mtakatifu wa Makka kutekeleza ibada ya Hija kwa baiskeli.
Habari ID: 3471590 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/11