TEHRAN (IQNA)-Umoja wa Mataifa umepasisha azimio na kutaka kufunguliwa mshtaka, kufikishwa mahakamani na kuadhibiwa wale wote wanaohusika na mauaji na kuwatesa Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
Habari ID: 3470907 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25
TEHRAN (IQNA)-Watu wanaouuchukia Uislamu (Islamophobes) wameandamana na kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Ontario, Canada mapema wiki hii.
Habari ID: 3470906 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25
TEHRAN (IQNA)-Mwanariadha Mwanamke Mwislamu Mmarekani aliyeiwakilisha nchi yake katika Olimpiki amemuandikia barua ya malalamiko Rais Donald Trump wa nchi hiyo.
Habari ID: 3470905 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/23
TEHRAN (IQNA)-Wizara ya Awqaf Misri imesema nchi 40 zimetangaza kuwa tayari kushiriki katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3470904 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema lengo la adui ni kuliwekea mashinikizo ya kiuchumi taifa la Iran na kwamba maadui wanataka kuwafanya wananchi wakate tamaa na kukosa imani na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470903 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/21
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wa kuanza mwaka mpya wa 1396 Hijria Shamsia akiwapongeza Wairani na Waislamu kote duniani kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Bibi Fatima Zahra SA na Sikukuu ya Nowruz na ameupa mwaka mpya jina la Mwaka wa Uchumi wa Kimapambano, Uzalishaji na Ajira.
Habari ID: 3470902 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/20
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Bibi Fatima SA alikuwa dhihirisho la ukamilifu wa mwanamke wa Uislamu na alifikia daraja la juu la 'mwanamke wa Kiislamu' yaani kiasi cha kuitwa 'kiongozi'.
Habari ID: 3470901 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/19
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470900 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18
TEHRAN (IQNA)-Wairani zaidi ya 85,000 wanatazamiwa kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu kufuatia mapatano baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia.
Habari ID: 3470899 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18
IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
Habari ID: 3470898 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16
IQNA-Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya imekosolewa vikali na Waislamu kwa kutoa hukumu kuwa waajiri barani humo wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
Habari ID: 3470897 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16
IQNA-Msikiti erevu (smart mosque) unatazamiwa kuzinduliwa kwa mara ya kwanza katika Umoja wa Falme za Kiarabu UAE.
Habari ID: 3470896 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/15
IQNA-Utawala dhalimu wa Bahrain umeakhirisha tena hukumu dhidi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3470895 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/14
IQNA-Jumba la Makumbusho la Qatar ambalo lina mkusanyiko mkubwa zaidi za sarafu za Kiislamu duniani limeandaa maonyesho yenye sarafu muhimu zaidi ya Kiislamu duniani.
Habari ID: 3470894 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/14
IQNA-Moto umeteketeza Msikiti na Kituo Kiislamu cha Ypsilanti mjini Pittsfield, jimboni Michigan nchini Markeani
Habari ID: 3470893 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13
IQNA-Kati ya malengo ya mashindano ya Qur'ani ya Waislamu barani Ulaya ni kutafuta na kubaini vipawa vilivyopo vya Qur'ani barani humo.
Habari ID: 3470892 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13
IQNA: Kwa mara ya kwanza katika historia ya mbio maarufu za marathon za Boston, Marekani, mwanamke Mwislamu atashiriki akiwa amevaa Hijabu.
Habari ID: 3470891 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13
IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12
IQNA-Mabomu mawili yamelipuka katika mji mkuu wa Syria Damascus katika eneo lililo karibu na Haram ya Bibi Sakina SA na kupelekea wafanya ziara wasiopungua 45 kuuawa shahidi.
Habari ID: 3470889 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/11
IQNA: Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewateka nyara Wapalestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke katika oparesheni ya Alhamisi.
Habari ID: 3470888 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10