slovenia

IQNA

IQNA – Toleo la tisa la mashindano ya "Kizazi cha Qur’ani" limehitimishwa mjini Ljubljana, likiwa limewakutanisha zaidi ya washiriki elfu moja kutoka maeneo mbalimbali ya Slovenia.
Habari ID: 3480873   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/30

TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Slovenia wameshiriki katika Sala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti pekee nchini humo.
Habari ID: 3472450   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/08

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa kwanza kabisa katika historia ya Slovenia umefunguliwa Jumatatu katika mji mkuu, Ljubljana baada ya Waisalmu kuvuka vizingiti ya kifedha na upinzani wa watu wenye mismamo mikali ya mrengo wakulia.
Habari ID: 3472439   Tarehe ya kuchapishwa : 2020/02/04

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria matukio machungu na ya kusikitisha katika eneo na nafasi ya baadhi ya madola makubwa katika kulazimisha ukosefu wa uthabiti na vita katika mataifa.
Habari ID: 3470691   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/22