iqna

IQNA

hijab
Uislamu Tanzania
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Tanzania kimeandaa maonyesho ya Kiislamu ya Hijabu na Ifaf (staha).
Habari ID: 3476412    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/16

Chuki dhidi ya Uislamu Ufaransa
TEHRAN (IQNA) - Mahakama moja ya Ufaransa imemtoza faini mmiliki wa mgahawa kusini-magharibi mwa nchi hiyo ya Ulaya kwa kumkataza mwanamke Mwislamu kuingia akiwa amevaa mtandio wa Kiislamu, unajulikana pia kama Hijabu.
Habari ID: 3476178    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/01

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu katika jimbo la Oyo nchini Nigeria wameapa kupigania haki za wasichana Waislamu kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3474591    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA) – Bi. Tasnim Nazeer hakudani atakuwa ripota wa kwanza Mwislamu kuonekana katika televisheni akiwa amevalia vazi la staha la Kiislamu la Hijabu huko Scotland, Uingereza.
Habari ID: 3473026    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/02

TEHRAN (IQNA)_Wakaguzi wa shule nchini Uingereza wametakiwa kuwasaili wasichana Waislamu katika shule za msingi iwapo watapatikana wamevaa mtandio au vazi la Hijabu wakiwa shuleni.
Habari ID: 3471271    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/20

TEHRAN (IQNA)-Mfanyabiashara wa kike Mfaransa ambaye pia ni mama mzazi, Bi Samira Amarir, kwa muda mrefu alikuwa anatafuta bila mafanikio vitu mbali mbali vya watoto kuchezea, ambavyo vingeimarisha imani ya Kiislamu ya binti yake, hatimaye aliamua kujibunia yeye mwenyewe.
Habari ID: 3471162    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/07

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu nchini Malawi sasa wanaweza kupigwa picha za leseni ya kuendesha gari wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471002    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/31

Kwa msaada wa Chuo Kikuu cha Minnesota Marekani, wasichana Waislamu katika eneo la Minneapolis wamebuni mavazi mapya ya timu yao ya baskatboli, mavazi ambayo yanazingatia mipaka ya Kiislamu.
Habari ID: 3313760    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13

Licha ya duru za kimataifa kutoa onyo kali lakini mamlaka za Thailand zinaendelea kuwanyanyasa Waislamu ikiwa ni pamoja na kuwapiga marufuku wanafunzi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3217763    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27