TEHRAN (IQNA) – Ujumbe wa ngazi za juu wa wanazuoni kutoka Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha Misri ulitembelea Iran nusu karne iliyopita ikiwa ni katika jitihada za wanazuoni wa Shia na Sunni kuleta umoja wa Kiislamu na ukuruba wa madhehebu.
Habari ID: 3473860 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Pakistan kimeandaa mashindano ya Qur'ani katika mji wa Peshawar kwa mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473859 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/29
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuwepo askari wa majeshi ya kigeni na wa nje ya eneo ni tishio na kunavuruga amani ya eneo.
Habari ID: 3473857 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/28
TEHRAN (IQNA)- Maoneysho ya kwanza ya kimatiafa ya Qur’ani Tukufu ya Iran kwa njia ya intaneti yamepangwa kuanzia Mei 1.
Habari ID: 3473848 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/25
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran na Pakistan zinasisitiza kuhusu kushirikiana katika kupambana na ugaidi, chuki dhidi ya Uislamu na kudumisha usalama wa mpaka baina ya nchi mbili.
Habari ID: 3473838 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21
Kiongozi Muadhamu katika ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Jeshi nchini Iran
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe maalumu kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Jeshi nchini Iran.
Habari ID: 3473824 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumza kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA na vikwazo na kusema sera za Iran ziko wazi kuhusu JCPOA na vikwazo. Ameongeza kuwa sera hizo amezibainisha wazi kwa wakuu wa nchi kupitia maandishi na katika mikutano.
Habari ID: 3473814 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
Rais Hassan Rouhani
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa urutubishaji wa madini ya urani kwa kiwango cha asilimia 60 ni jibu kwa vitendo vya shari vya maadui.
Habari ID: 3473813 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA) - Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ametuma ujumbe wa salamu za pongezi, kheri na baraka kwa Maspika wa Mabunge ya nchi za Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukuufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473812 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/14
Sheikh Naim Qassim
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kuirejesha Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kutakuwa ni ushindi kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3473804 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/12
TEHRAN (IQNA)- Majaji wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Televisheni ya Al Kauthar ya Iran wametangazwa.
Habari ID: 3473802 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA)-Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu yatafanyika kwa njia ya intaneti kuanzia Mei 1 hadi 10.
Habari ID: 3473801 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/11
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, leo tunashuhudia mwanzo mpya wa kuhuishwa mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA.
Habari ID: 3473792 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/07
Spika ya Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema kutiwa saini mapatano ya ushirkiano wa Iran na China ni onyo muhimu kwa Marekani na kuongeza kuwa, matukio ya kimataifa yanachukua mkondo wa kasi ambao ni kwa hasara ya Marekani.
Habari ID: 3473781 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/04
TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Saudi Arabia amedai kuwa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kuna faida nyingi za kiuchumi, kijamii na kiusalama kwa eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3473778 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/02
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa vikwazo ni dhulma kubwa dhidi ya taifa la Iran na vinapaswa kuondolewa ameeleza kwamba.
Habari ID: 3473774 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31
TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko China jana Jumanne aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ametembelea mkoa wenye Waislamu wengi nchini humo ambao wakaazi wake wengi Waislamu wa jamii wa Uighur.
Habari ID: 3473773 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu azimio dhidi ya Iran lililotolewa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa na kusisitiza kuwa, nchi zinazokanyaga haki za mataifa ya dunia hazina ustahiki wa kuzungumzia haki za binadamu.
Habari ID: 3473759 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/25
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa Iran inaunga mkono mpango wowote wa kuleta amani Yemen.
Habari ID: 3473756 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/23
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria kadhia ya vikwazo na kusisitiza kuwa, mzingiro wa kiuchumi na vikwazo ni kati ya jinai kubwa za serikali na kadhia hiyo haipaswi kutazamwa kwa jicho la kisiaasa na kidiplomasia.
Habari ID: 3473752 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/21