iqna

IQNA

IQNA – Jumla ya raia 85,000 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran watashiriki katika ibada ya Hija mwaka huu ambapo miongoni mwao  1,100 wana umri wa zaidi ya miaka 80, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3480553    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/17

Sauti ya Mbinguni/ 3
IQNA- Usomaji wa Qur'ani Tukufu kwa hakika unaweza kutajwa kuwa 'Sauti ya Mbinguni', ambao kila aya zake tukufu huleta thawabu kubwa na usikilizwaji wake huleta utulivu wa mioyo. Katika mfululizo wa "Sauti ya Mbinguni", tumekusanya nyakati za hamasa, unyenyekevu, na uzuri wa sauti ya Qur'ani, na sehemu bora za tilawa ya wasomaji mashuhuri wa Ki iran i, ili kuwa urithi wa kusikika wa fani ya tilawa na maana ya kiroho ya aya za Qur'ani.
Habari ID: 3480547    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16

IQNA – Kadri maandalizi ya Mashindano ya 7 ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wanafunzi Waislamu yanavyoendelea, tarehe ya mwisho kwa washiriki wa sehemu ya Teknolojia na Ubunifu Kuhusu Qur’ani inakaribia.
Habari ID: 3480534    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/13

IQNA – Awamu ya kwanza ya safari ya Umrah kwa Mahujaji kutoka Iran kwa mwaka huu imehitimishwa rasmi, ambapo takriban Wa iran i 192,000 wametekeleza ibada hiyo tukufu ya Hijja Ndogo nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3480520    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/09

IQNA – Usajili umeanza rasmi kwa toleo la nane la mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa wafanyakazi nchini Iran.
Habari ID: 3480515    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08

IQNA – Jumla ya vipindi 30 vya Qur’ani Tukufu viliandaliwa kwa ushiriki wa wasomi wa kiwango cha juu wa masuala ya Qur’ani kutoka Iran, katika majimbo mbalimbali ya Iraq wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wa mwaka huu.
Habari ID: 3480509    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/08

Taarifa
IQNA-Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran (IRGC) limetoa taarifa na kutangaza kuwa kambi ya Muqawama, hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina, hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakaliwa ardhi za Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3480490    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04

Rais Pezeshkian wa Iran katika mazugumzo na Bin Salman wa Saudia
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia na kusisitiza kwa kusema: "Nina imani kwamba kama nchi za Kiislamu zitafanya kazi kwa pamoja, zinaweza kuleta usalama na ustawi bora katika eneo hili."
Habari ID: 3480489    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04

IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa wito wa kuimarisha zaidi umoja na huruma miongoni mwa mataifa ya Kiislamu. Katika ujumbe wa pongezi kwa wenzake Waislamu kwa mnasaba wa sikukuu ya Idul Fitr, inayoadhimisha baada ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani,
Habari ID: 3480472    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

IQNA-Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano na Palestina, na kulaani ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480454    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28

IQNA – Siku ya Kimataifa ya Quds ni fursa ya kuonyesha msaada wa umma kwa  taifa la Palestina na ukombozi wa al-Quds, amesema afisa mwandamizi nchini Iran.
Habari ID: 3480435    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/25

IQNA – Hossein Khani Bidgoli kutoka Iran amesema alikuwa na furaha na jinsi alivyofanya katika Mashindano ya 32 ya kimataifa ya Qur'ani ya Jordan.
Habari ID: 3480420    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/23

IQNA – Dhifa ya futar imeandaliwa Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, kwa ajili ya mabalozi na wawakilishi wa nchi za Kiislamu walioko Tehran. 
Habari ID: 3480401    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Toleo la pili la Tamasha la Usomaji Qur'ani wa Kuiga sauti za maqari mashuhurilinatarajiwa kufanyika katika mji wa Qazvin, Iran, kuanzia Februari 22 hadi 25, likiwakutanisha maqari  50 vijana kutoka sehemu mbalimbali za nchi.
Habari ID: 3480237    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/18

Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Iran kwa kufikisha "ujumbe wa umoja" kwa jamii ya kimataifa katika maadhimisho ya miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kihistoria ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.
Habari ID: 3480206    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Wawakilishi wa nchi 27 watashindana katika hatua ya mwisho ya Mashindano ya 41 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3480085    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/20

Mashindano ya Qur'ani ya Iran
IQNA – Toleo la 41 la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran litaingia katika hatua ya mwisho mwezi huu.
Habari ID: 3480049    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/13

Siasa
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Marekani mara zote imekuwa ikifanya makosa katika mtazamo wake dhidi ya Iran kwa miongo kadhaa sasa.
Habari ID: 3480017    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/08

Mtazamo
IQNA – Mchambuzi wa kisiasa wa Palestina amesema Shahidi Jenerali Qassem Soleimani aliona kadhia ya Palestina kama suala kuu la ulimwengu wa Kiislamu, ambalo linapaswa kuungwa mkono kwa njia yoyote ile.
Habari ID: 3480000    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03

Muqawama
IQNA-Rais Massoud Pezeshkian amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na njia iliyoanzishwa na kamanda shujaa wa kupambana na ugaidi, Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, kwa nguvu zake zote huku akisema Shahidi Soleimani hakujali mchana wala usiku popote alipohitajika kuwatetea wanyonge/
Habari ID: 3479995    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03