Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25
TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14
IQNA-Maelfu ya Wapalestina wameandamana kupinga sheria ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kupiga marufuku adhana katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.
Habari ID: 3470890 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/12
IQNA: Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wamewateka nyara Wapalestina kadhaa akiwemo mbunge mwanamke katika oparesheni ya Alhamisi.
Habari ID: 3470888 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/10
IQNA: Mkutano wa Kimataifa wa Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina utafanyika tarehe 21 na 22 Februari katika mji mkuu wa Iran, Tehran.
Habari ID: 3470856 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati hiyo hauuogopi utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wala shetani mkuu Marekani.
Habari ID: 3470854 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/17
Balozi wa Iran nchini Tanzania anayeondoka
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ambaye muda wake umemalizika amesema, kadhia ya kukombolewa Quds Tukufu ni kadhia muhimu zaidi katika Ulimwengu wa Kiislamu na miongoni mwa watetezi wa uhuru duniani.
Habari ID: 3470622 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/20
Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limepitisha azimio na kusema Msikiti wa Al Aqsa ni milki ya Waislamu kwamba Mayahudi hawana haki katika msikiti huo.
Habari ID: 3470611 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ni kiongozi pekee wa Kiarabu aliyehudhuria mazishi ya rais wa zamani wa utawala bandia wa Israel, maarufu kama katili wa Qana.
Habari ID: 3470587 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/30
Ujumbe maalumu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) unaelekea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu (Israel) ili kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na utawala haramu wa Israel katika vita vya siku 50 dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470548 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/04
Harakati ya mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Lebanon Hizbullah imeuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia uchokozi wake katika mashamba ya Shab'a.
Habari ID: 3470531 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/19
Sayyid Hassan Nasrallah
Kiongozi wa harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali safari ya maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Saudi Arabia katika utawala wa Kizayuni wa Israel wiki jana.
Habari ID: 3470484 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/31
Waziri mmoja katika utawala wa Kizayuni wa Israel ametaka viongozi wa ngazi za juu wa Hamas watekwe nyara.
Habari ID: 3470439 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/08
Sayyid Nasrullah:
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa lengo la kutangazwa Siku ya Kimataifa ya Quds ni kubakisha hai kumbukumbu ya Quds tukufu na kuwafanya Waislamu wasisahau eneo na msikiti huo mtakatifu.
Habari ID: 3470427 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/02
Ijumaa ya mwisho ya kila mwezi mtukufu wa Ramadhani katika kalenda ya matukio ya dunia, imepewa jina la Siku ya Kimataifa ya Quds.
Habari ID: 3470425 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/30
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewakatia huduma za maji Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan licha ya joto kali na hitajio kubwa la bidhaa hiyo muhimu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470391 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/16
Uchunguzi wa Maoni
Zaidi ya thuluthi moja ya Wamarekani na karibu nusu ya wananchi wa Uingereza wanaunga mkono kususiwa na kuwekewa vikwazo utawala wa kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470351 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/01
Genge la Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakipata himaya ya askari wa utawala haramu wa Israel wameuhujumu na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3470347 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/30
Kiongozi wa Hizbullah
Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio tishio kuu kwa usalama na amani Mashariki ya Kati
Habari ID: 3470337 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/26
Mamia ya Wapalestina wameandamana katika Ukanda wa Ghaza kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya eneo hilo.
Habari ID: 3470303 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/09