Kundi la magaidi na wakufurishaji wa ISIS (Daesh) kwa mara nyingine wametishia kuibomoa al-Ka'aba katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3353091 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/27
Utawala haramu wa Israel umeamuru kubomolewa milki tatu zaidi za Wapalestina, ukiwemo msikiti mmoja ulioko Quds Mashariki.
Habari ID: 3351059 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/24
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuhusu udharura wa umoja baina ya Waislamu ili kukabiliana na njama hatari za utawala haramu wa Israel za kuubomoa Msikiti wa Al Aqsa katika Mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3349556 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Kutokana na pendekezo lililotolewa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa ajili ya kuenzi Msikiti wa kihistoria wa al Aqsa, tarehe 21 Agosti imetangazwa na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
Habari ID: 3349544 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/21
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3344476 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15
Katibu Mkuu wa Baraza la Kiislamu na Kikristo la Kutetea Quds Tukufu amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha machafuko na ghasia katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3342896 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Mufti Mkuu wa Quds
Mufti Mkuu wa Palestina ametoa wito wa kuhukumiwa wakuu wa wutawala wa Kizayuni wa Israel katika duru za kimataifa.
Habari ID: 3335935 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27
Shirika la Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC limetoa wito kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhuckua hatua hatua za kivitendo kuzuia hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3335772 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah
Abdulmalik Houthi Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudia imegueka na kuwa chombo cha Israel katika hujuma dhidi ya Wayemen.
Habari ID: 3326612 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Ali Larijani
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, Ali Larijani amesema lengo kuu la nchi za Magharibi ni kuangamiza Uislamu na njama hiyo ilianzishwa Palestina.
Habari ID: 3326323 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Jumuiya ya Waislamu wa Kishia Tanzania, AfroShia Muslim Community, inapanga maandamano ya amani kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds kwa lengo la kulaani jinai dhidi ya Wapalestina na pia kuunga mkono jitihada za amani duniani.
Habari ID: 3322431 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03
Wanamaji wa jeshi la utawala haramu wa Israel wameiteka nyara meli ya misaada ya Sweden iliyokuwa imebeba misaada ya Wapalestina walio katika eneo linalozingirwa la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3321135 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/29
Ripoti ya Umoja wa Mataifa
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za utawala haramu wa Israel huko Ghaza iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imechapishwa.
Habari ID: 3317957 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/23
Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina amewataka Waislamu wahudhurie kwa wingi katika msikiti mtukufu wa al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3314849 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16
Katika hatua ya kushangaza, Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekataa kuuoredhesha utawala haramu wa Israel na ambao unaendelea kuua watoto wa Ukanda wa Gaza, katika orodha ya tawala zinazovunja haki za watoto duniani.
Habari ID: 3312923 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/10
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekataa kuuweka utawala haramu wa Israel kwenye orodha ya makundi na watu wanaowaua watoto kiholela duniani.
Habari ID: 3312544 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/09
Watoto 93 Wapalestina hivi sasa wanashikiliwa katika Jela ya kuogofya ya Ofer ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3312263 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/08
Kiongozi wa chama cha upinzani katika utawala wa Kizayuni wa Israel amesema utawala huo unakabiliwa na Intifadha ya kidiplomasia kutokana na kuongezeka harakati za vuguvugu la kususia bidhaa za Israel kote duniani.
Habari ID: 3311792 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/07
Jeshi la Utawala haramu wa Israel limewaua watoto wapatao 980 katika hujuma zake za hivi karibuni katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3311464 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/07