yemen

IQNA

IQNA – Mwenyekiti wa Baraza la Juu la Kisiasa la Yemen amerejelea mkataba wa ulinzi wa pamoja kati ya Pakistan, Uturuki, na Saudi Arabia, akisema kuwa makubaliano ya namna hiyo hayana athari yoyote kwa hali ya mambo nchini Yemen, kwani mlinganyo wa “mzingiro dhidi ya mzingiro” utaendelea kubaki pale pale hadi malengo yake yatakapofikiwa.
Habari ID: 3482597   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/08/08

IQNA – Ali Qassem ni mwandishi wa hati (khatati au kaligrafia) kutoka nchini Yemen ambaye amejitolea katika kuhifadhi mapokeo ya kale ya uandishi wa Qur’ani Tukufu kwa kutumia hati ya Kiuthmaniya (Rasm al-Uthmani).
Habari ID: 3482548   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/28

IQNA – Chuo Kikuu cha Qur’ani na Shule ya Mafunzo ya Kidini cha Juu kimefunguliwa katika mji wa Rida, mkoani Bayda, nchini Yemen, Jumapili.
Habari ID: 3482487   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/14

IQNA – Kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote kwa kusikiliza kanda za sauti kuligusa kwa kina familia ya Hajiya Maryam mwenye umri wa miaka 82.
Habari ID: 3482363   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/15

IQNA – Sherehe imefanyika katika mji mkuu wa Yemen, Sana’a, siku ya Jumatatu, kuwaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi waliohifadhi Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3482259   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/19

IQNA – Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen, Sayyid Abdul-Malik al-Houthi, ameeleza kuwa vitendo vya kuivunjia heshima Qur’an Tukufu ni sehemu ya njama za kutekeleza mpango wa Kizayuni dhidi ya Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3482258   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/19

IQNA – Katika nyumba ya kawaida na tulivu katika moja ya mitaa ya Sana’a, mji mkuu wa Yemen, ilianza safari ya Bilal Mahdi Al-Sharaabi, kijana wa Yemen ambaye sasa ana umri wa miaka kumi na minne.
Habari ID: 3482209   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/06

IQNA – Mji wa Aden, Yemen umeshuhudia hafla adhimu ya Qur’ani Tukufu iliyowaleta pamoja wanawake waliobobea katika hifdhi, ambapo walifanikiwa kuisoma Qur’ani Tukufu yote kwa kuhifadhi (kwa moyo) ndani ya kikao kimoja.
Habari ID: 3482198   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/04

IQNA – Mwaka huu, kozi za kiangazi katika mkoa wa Hajjah zimepata usajili mkubwa usiokuwa wa kawaida, zikihusisha shule 1,482.
Habari ID: 3482144   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/16

IQNA-Jeshi la Yemen limetangaza kuwa liko tayari kuingilia moja kwa moja kijeshi iwapo pande nyingine zitaungana na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mhimili wa Muqawama.
Habari ID: 3482096   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/03/28

IQNA – Hafla maalumu ilifanyika nchini Yemen kuwaenzi wanafunzi 200 waliokamilisha masomo yao katika vikao vya Qur’ani vilivyoendeshwa misikitini katika kitongoji cha Madhbah, Wilaya ya Maeen.
Habari ID: 3481939   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/15

IQNA-Kiongozi wa harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Israel zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi ya mradi wao mpana wa kutawala eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3481932   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14

IQNA-Jumuiya ya Wasomi wa Kiislamu wa Yemen imetangaza mshikamano wake kamili na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kutaka ulimwengu wa Kiislamu kuchukua msimamo wa pamoja katika suala hilo.
Habari ID: 3481879   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/01

IQNA-Mashindano ya Qur’ani kwa wasichana yamefanyika katika mkoa wa Hajjah nchini Yemen, yakionyesha juhudi za kuimarisha elimu ya Qur’ani miongoni mwa wanafunzi wa kike.
Habari ID: 3481855   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/27

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ilichochea machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, na kwamba imefedheheka kwani njama za zimepata kipigo kikubwa cha kimkakati.
Habari ID: 3481834   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/23

IQNA – Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
Habari ID: 3481815   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18

IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
Habari ID: 3481808   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/17

IQNA – Mjadala maalum kuhusu “Wajibu wa Umma wa Kiislamu katika kukabiliana na udhalilishaji wa Qur’ani na matukufu mengine na maadui” umefanyika mjini Sanaa, mji mkuu wa Yemen.
Habari ID: 3481772   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/06

IQNA – Mashindano ya Qur’ani kwa wanafunzi wa kiume na wa kike kutoka shule za serikali na binafsi yameanza Jumapili katika Mkoa wa Hodeidah, Yemen.
Habari ID: 3481770   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/05

IQNA – Mkuu wa Baraza la Maendeleo ya Utamaduni wa Qur’ani Tukufu nchini Iran, Hujjatul Islam Mohammad Qomi, amepongeza mwitikio wa nguvu wa wananchi wa Yemen kufuatia kitendo cha kuvunjiwa heshima kwa Qur’ani Tukufu kilichofanywa na mgombea wa Seneti nchini Marekani.
Habari ID: 3481700   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/22