iqna

IQNA

Muqawama
IQNA – Katika ulimwengu wa Kiarabu, ni Yemen pekee ambayo imesimama thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni na kwa mshikamano na Gaza na Palestina.
Habari ID: 3479972    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati za Ansarullah yaYemen amezungumzia uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kwamba kile kinachofanywa na adui wa Kizayuni ni mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3479962    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Israel cha kunyakua ardhi zaidi ya Syria wa hivi karibuni baada ya kuangushwa serikali ya nchi hiyo ni sehemu ya mpango wa utawala huo wa Kizayuni unaoitwa 'Israeli Kubwa'.
Habari ID: 3479924    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20

Muqawa
IQNA-Zaidi ya walowezi haramu milioni moja wamekimbilia katika mahandaki huku wakiwa na hofu na wahka mkubwa baada ya kombora lililorushwa kutoka upande wa Yemen kutua katika eneo kubwa zaidi la mji wa Tel Aviv katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina bandi la Israel.
Habari ID: 3479920    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

Jinai
IQNA-Siku moja baada ya vikosi vya ulinzi vya Yemen kushambulia mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, la Palestina 2 ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeshambulia maeneo kadhaa ya Harakati ya Ansarullah katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a
Habari ID: 3479914    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17

Waungaji mkono Palestina
IQNA - Maelfu ya wananchi wa Yemen waliingia barabarani mjini Saada kutangaza uungaji mkono wao kwa mataifa ya Palestina na Lebanon na kulaani vitendo vya uchokozi vya utawala wa Israel dhidi ya Syria.
Habari ID: 3479896    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Watetezi wa Palestina
IQNA-Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano mapya ya kila wiki katika mji mkuu Sana'a na miji kadhaa nchini humo kusisitiza uungaji mkono wao kwa Wapalestina wanaokabiliwa na vita vya mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na Israel.
Habari ID: 3479868    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

Muqawama
IQNA - Balozi wa Yemen nchini Iran amesema taifa la Yemen litaendelea kuwa na msimamo thabiti katika kuunga mkono harakati za muqawama au mapambano ya Kiislamu huko Palestina na Lebanon.
Habari ID: 3479560    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Msaada
IQNA - Idadi kubwa ya wataalam wa matibabu wa Iran wametoa wametangaza utayari wao wa kwenda Lebanon kuwahudumia watu wa nchi hiyo ya Kiarabu huku utawala wa Kizayuni, ukiendeleza vita dhidi ya nchi hiyo, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479552    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07

Jinai za Israel
IQNA - Makundi ya kisiasa ya Yemen yamelaani vitendo vya kigaidi vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon ambavyo vilisababisha wengi kuuawa shahidi au kujeruhiwa.
Habari ID: 3479451    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/18

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen kwa mara nyingine tena amesisitiza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa Wapalestina katika kukabiliana na vita vya mauaji ya kimbari ya Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479441    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/16

Waungaji mkono Palestina
IQNA - Harakati mashuhuri ya Yemen ya Ansarullah imesambaza video na picha za sherehe za Maulid ya Mtume Mtukufu (SAW) zilizofanyika kwenye sitaha ya meli ya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479439    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/15

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Hatua ya nusu fainali ya mashindano ya Qur'ani kwa vijana nchini Yemen ilianza katika mji mkuu Sana'a Jumatatu usiku.
Habari ID: 3479415    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/11

Maulidi
IQNA - Mamlaka na watu huko Sana'a, mji mkuu wa Yemen, katika wiki za hivi karibuni wamekuwa wakifanya maandalizi ya kufanya Sherehe za Milad-un-Nabi. Sherehe hizi ni za kila mwaka hufanyika kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479404    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/09

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano yalifanyika katika maeneo tofauti ya Yemen siku ya Ijumaa kulaani ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza na pia vitendo vya Waisraeli vya kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479395    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07

Muqawama
IQNA- Badreddin Abdul Malik al-Houthi, kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba yake kuhusu hali mbaya ya hivi sasa ya Umma wa Kiislamu amesema kuna ulazima kufungamana na Mtume Muhammad (SAW0 Mtume na Qur'ani Tukufu, amesisitiza haja ya Waislamu kusoma na kuiga shakhsia ya Mtume (SAW).
Habari ID: 3479387    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/06

Watetezi wa Palestina
IQNA - Maandamano ya kukaa ndani yameandaliwa na wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Juu cha Qur'ani Tukufu katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a kulaani kitendo cha jeshi la utawala haramu wa Israel kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu hivi karibuni na ukatili wao dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3479366    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02

Watetezi wa Palestina
IQNA - Takriban watu milioni moja walikusanyika katika mji mkuu wa Yemen wa Sana'a siku ya Ijumaa ili kuelezea mshikamano wao na Wapalestina huko Gaza na pia kulaani jinai ya wanajeshi wa Israel ya kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479356    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Kuiunga Mkono Palestina
Zaidi ya watu milioni moja walishiriki katika maandamano huko Sanaa, mji mkuu wa Yemen, siku ya Ijumaa ili kuthibitisha mshikamano wao na watu wa Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479118    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/13

Jinai za Israel
IQNA - Vikosi vya Yemen vitaendelea kulenga meli yoyote inayoelekea bandari zinazokaliwa kwa mabavu na Israel, bila kujali kama zinapitia Bahari ya Sham au la, kiongozi wa harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawma)  ya Ansarullah alisema.
Habari ID: 3478838    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/17