IQNA-Profesa mmoja kutoka Iran amesema kuwa Imam Ali bin Hussein Sajjad (Aleyhi Salaam), Imamu wa nne katika mlolongo wa Maimamu wa Ahlul Bayt (AS), alikuwa na jukumu muhimu sana katika kuhifadhi ujumbe wa Karbala na kupambana na propaganda za Bani Umayyah kupitia dua, khutuba, na mafundisho ya maadili.
17:49 , 2025 Jul 08