IQNA – Toleo jipya la tarjuma ya Qurani Tukufu kwa lugha ya Kirusi limechapishwa. Haya yalitangazwa na Mufti wa Urusi, Sheikh Nafiullah Ashirov, ambaye alisema kuwa mwanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Suleiman Muhammedov ndiye aliyefanya kazi ya tarjuma hiyo. Alibainisha kuwa Muhammedov ameyatumia miaka mingi ya maisha yake katika kuhudumia masuala ya Uislamu, kama ilivyoripoti tovuti ya Muslims Around the World.
13:55 , 2026 Jan 19