IQNA – Kundi la waharibifu limevamia Kituo cha Kiislamu cha Imam Ridha (AS) mjini Birmingham, Uingereza, katika tukio lililoibua maswali kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu na Iran katika nchi za Magharibi.
IQNA – Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
IQNA – Jukwaa la Umoja na Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu Duniani, (WFPIST) limepongeza msimamo wa kuunga mkono uliotolewa na wanazuoni na wasomi wa Kishia na Kisunni kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia machafuko ya hivi karibuni.
IQNA-Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesema Iran inamtambua Rais wa Marekani, Donald Trump, kama mhusika mkuu wa mauaji na uharibifu katika ghasia za hivi karibuni hapa nchini.
Wizara ya Mambo ya Nje imelaani vikali tamko la hivi karibuni la kuingilia mambo ya ndani ya Iran lililotolewa na Kundi la Nchi Saba (G7), ikilishutumu kundi hilo la kiserikali linaloongozwa na Marekani kwa kuingilia masuala ya Iran na kwa mtazamo wa kinafiki kuhusu haki za binadamu.
IQNA-Wanazuoni na wasomi wa Ulimwengu wa Kiislamu, katika taarifa yao, wameonyesha kuunga mkono Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khamenei, kufuatia machafuko ya hivi karibuni nchini, huku wakitoa tamko linalomtaja rais Trump wa Marekani kama mtu “muhrib”
IQNA-Jumamosi tarehe 27 Rajab 1447 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2026 Miladia inasadifiana na siku ya Kubaathiwa Mtume Muhammad SAW. Hii ni siku muhimu na ya kipekee katika Uislamu.
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuhusika moja kwa moja Marekani, utawala wa Kizayuni na baadhi ya nchi za Ulaya katika matukio ya hivi karibuni ya Iran hakukanushiki.
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
IQNA – Utawala ghasibu wa Israel umetangaza mipango ya kuweka vizuizi kwa waumini Waislamu wanaotaka kufika Msikiti wa Al-Aqsa katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem0, wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
IQNA-Msikiti wa Imam Mahdi (AS) uliopo Sihat, katika Mkoa wa Mashariki wa Saudi Arabia, ulijengwa takribani miaka 132 iliyopita, na hivyo kuwa miongoni mwa nyumba kongwe za ibada katika eneo hilo.
IQNA-Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amezionya Marekani, Israel na mamluki wao wenye mienendo ya kigaidi kama ile ya Daesh kwamba kosa lolote la kimahesabu litakabiliwa na majibu makali na ya kuangamiza.
IQNA-Mamilioni ya wananchi nchini Iran waliandamana Jumatatu kulaani ghasia za hivi karibuni zilizochochewa na makundi ya kigaidi yanayodaiwa kuungwa mkono na Marekani na utawala wa Kizayuni.
IQNA-Mamilioni ya watu wa Iran siku ya Jumatano wamejitokeza katika mazishi na shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi mjini Tehran na miji mingine ya Iran.
QNA – Mwanasiasa mmoja wa Marekani ameonya kuhusu kuongezeka kwa chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi wakati mwezi mtukufu wa Ramadhani unakaribia.