IQNA

Haram za Karbala zapambwa kwa bendera nyeusi kuelekea Muharram

Haram za Karbala zapambwa kwa bendera nyeusi kuelekea Muharram

IQNA – Kuta na viwanja vya makaburi au haram tukufu za Imam Hussein (AS) na Hadhrat Abbas (AS) katika mji wa Karbala, Iraq, vimepambwa kwa bendera nyeusi na alama za maombolezo huku mwezi wa Muharram wa kalenda ya Hijria ukikaribia.
17:54 , 2026 Jun 13
Misikiti 15 yafungwa Arunachal Pradesh, India na kuzua malalamiko ya Waislamu

Misikiti 15 yafungwa Arunachal Pradesh, India na kuzua malalamiko ya Waislamu

IQNA – Mamlaka katika mji mkuu wa jimbo la Arunachal Pradesh nchini India zimezifunga misikiti yote 15 iliyoko katika mji huo mkuu, hatua iliyozua ukosoaji na malalamiko kutoka kwa makundi ya Kiislamu.
17:44 , 2026 Jun 13
Shahidi Imam Khamenei kuzikwa katika Haram ya Imam Ridha (AS) tarehe 9 Julai, mamilioni kushiriki

Shahidi Imam Khamenei kuzikwa katika Haram ya Imam Ridha (AS) tarehe 9 Julai, mamilioni kushiriki

IQNA-Ofisi inayohusika na kuhifadhi na kuchapisha kazi za Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu imetangaza ratiba ya hafla za kuaga, mazishi, na kuzikwa kwa Shahidi Ayatullah Imam Sayyid Ali Khamenei ambapo mamilioni wanatarajiwa kushiriki.
17:31 , 2026 Jun 13
Tani 235 za Maji ya Zamzam husambazwa kila siku katika Al Masjid An Nabawi

Tani 235 za Maji ya Zamzam husambazwa kila siku katika Al Masjid An Nabawi

IQNA – Kila siku, tani 235 za maji ya Zamzam husambazwa katika Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume (SAW)) mjini Madina.
18:04 , 2026 Jun 12
Mpango Wazinduliwa Punjab, Pakistan Kuondoa Makosa Katika Uchapishaji wa Qur’ani

Mpango Wazinduliwa Punjab, Pakistan Kuondoa Makosa Katika Uchapishaji wa Qur’ani

IQNA – Kwa azma ya kuondoa kabisa makosa ya kimaana na ya maandishi katika nakala za Qur’ani Tukufu, Bodi ya Qur’ani ya jimbo la Punjab nchini Pakistan imeidhinisha mpango maalumu wa utekelezaji.
17:52 , 2026 Jun 12
Wawakilishi wa Iran Wang’ara katika Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala

Wawakilishi wa Iran Wang’ara katika Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala

IQNA – Wawakilishi wote wa Iran katika toleo la tano la Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani ya Karbala nchini Iraq wamepata nafasi za juu katika vipengele mbalimbali vya mashindano.
17:47 , 2026 Jun 12
Uzinduzi wa Tarjuma ya Sauti ya Qur’ani kwa Lugha ya Kitajiki

Uzinduzi wa Tarjuma ya Sauti ya Qur’ani kwa Lugha ya Kitajiki

IQNA – Maana ya aya za Qur’ani Tukufu sasa imeweza kufikika kwa wasikilizaji wanaozungumza Kitajiki kote duniani kupitia uzinduzi wa tarjuma ya sauti kwa lugha hiyo.
17:42 , 2026 Jun 12
Iran yashambulia ngome za kijeshi ya Marekani kujibu uchokozi

Iran yashambulia ngome za kijeshi ya Marekani kujibu uchokozi

IQNA-Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) likishirikiana na Jeshi la Kitaifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (Artesh), limetangaza mfululizo wa operesheni za kijeshi za kulipiza kisasi zilizoratibiwa vyema dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
12:56 , 2026 Jun 11
Zaidi ya vibali 700 vimetolewa kwa Maukibu  za Karbala wakati wa Ashura

Zaidi ya vibali 700 vimetolewa kwa Maukibu za Karbala wakati wa Ashura

IQNA – Wakati mwezi wa Muharram unavyokaribia, vibali zaidi ya 700 vimetolewa kwa ajili ya kuanzisha maukibu mjini Karbala, kwa lengo la kuwahudumia waombolezaji wa Muharram katika mji huo mtukufu.
17:46 , 2026 Jun 10
Madarasa ya Qur’ani nchini Bosnia yaadhimisha mwisho wa mwaka wa masomo

Madarasa ya Qur’ani nchini Bosnia yaadhimisha mwisho wa mwaka wa masomo

IQNA – Hafla ya kuadhimisha kuhitimishwa kwa mwaka wa masomo 2025–2026 kwa madarasa ya Qur’ani (Kutab) imefanyika katika mji wa Zenica nchini Bosnia na Herzegovina.
17:43 , 2026 Jun 10
Kisomo cha mwana wa Sheikh Shasha’i kinarushwa na Idhaa ya Qur’ani ya Misri

Kisomo cha mwana wa Sheikh Shasha’i kinarushwa na Idhaa ya Qur’ani ya Misri

IQNA – Idhaa ya Qur’ani ya Misri kila siku katika kipindi chake cha jioni hurusha tilawa za Ibrahim Shasha’i, mwana wa qari mashuhuri wa Kimisri marehemu Sheikh Abdel Fattah Shasha’i.
17:36 , 2026 Jun 10
Meya Mwislamu wa New York apinga sera za Trump za kuwabana wageni wakati wa Kombe la Dunia

Meya Mwislamu wa New York apinga sera za Trump za kuwabana wageni wakati wa Kombe la Dunia

IQNA – Meya Mwislamu wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, siku ya Jumatano alipinga vikali mipango ya utawala wa Trump ya kuongeza uwepo wa maafisa wa Idara ya Uhamiaji, kwa kifupi ICE, jijini humo wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia.
17:29 , 2026 Jun 10
Msanii wa Dagestan na Tajiriba ya kiroho ya kuandika Qur’ani

Msanii wa Dagestan na Tajiriba ya kiroho ya kuandika Qur’ani

IQNA – Suleiman Ashirlayev, msanii wa khatt kutoka Jamhuri ya Dagestan katika Shirikisho la Urusi, ameandika Qur’ani Tukufu nzima kwa maandishi ya Thuluth katika tajiriba aliyoiita ya kiroho.
12:03 , 2026 Jun 09
Hatua ya Awali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Iran kuanza mwezi ujao

Hatua ya Awali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Iran kuanza mwezi ujao

IQNA – Zaidi ya watu 67,000 wamejiandikisha kushiriki katika Mashindano ya 49 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo hatua ya awali inatarajiwa kuanza mwezi ujao.
11:53 , 2026 Jun 09
Manispaa ya Tehran Yakamilisha Maandalizi ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi

Manispaa ya Tehran Yakamilisha Maandalizi ya Mazishi ya Kiongozi Shahidi

IQNA – Msemaji wa Manispaa ya Tehran ametangaza utayari kamili wa manispaa hiyo kwa ajili ya shughuli ya kusindikiza mwili wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
11:48 , 2026 Jun 09
3 4 5 6