IQNA

Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Yaandaa Khitma ya Qur’ani Katika Maadhimisho ya Ashura

Jumuiya ya Qur'ani ya Iran Yaandaa Khitma ya Qur’ani Katika Maadhimisho ya Ashura

IQNA – Kwa mnasaba wa kuwasili kwa siku za Tasua na Ashura, yaani tarehe ya tisa na ya kumi ya mwezi wa Muharram, Jumuiya ya Qur'ani nchini Iran iliendesha ibada ya jadi ya Khatma ya Qur’ani, yaani usomaji wa Qur’ani Tukufu kuanzia mwanzo hadi mwisho wake.
18:36 , 2026 Jun 26
Malengo matukufu ya Imam Hussein (AS) yalivuka mipaka ya zama

Malengo matukufu ya Imam Hussein (AS) yalivuka mipaka ya zama

IQNA – Mwamko wa Imam Hussein (AS) haukuwa uasi wa kimageuzi uliotokea na kuishia katika kurasa za historia; bali ulikuwa ni mkondo wa kifikra wenye malengo matukufu na maadili ya kimalakuti yanayovuka mipaka ya zama.
12:50 , 2026 Jun 25
Sheikh Qassim:  Utawala wa Israel umegonga mwamba vitani Lebanon

Sheikh Qassim: Utawala wa Israel umegonga mwamba vitani Lebanon

IQNA0-Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, ameashiria "kugonga mwamba wa mradi wa Israel," na kusisitiza kwamba, utawala huu hautaweza kamwe kufikia malengo yake katika medani ya vita.
10:56 , 2026 Jun 25
Qalibaf: Mkataba wa Islamabad ni tangazo la kushindwa Marekani

Qalibaf: Mkataba wa Islamabad ni tangazo la kushindwa Marekani

IQNA-Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Mkataba wa Maelewano (MoU) wa kumaliza vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran haukuwa matokeo ya shinikizo au kulazimishwa, bali ni zao la ustahimilivu na nguvu ya taifa shupavu la Iran.
14:59 , 2026 Jun 24
Akiwa Pakistan, Rais wa Iran atoa wito wa ushirikiano miongoni mwa nchi za Kiislamu

Akiwa Pakistan, Rais wa Iran atoa wito wa ushirikiano miongoni mwa nchi za Kiislamu

IQNA-Rais wa Iran ametoa wito wa ushirikiano wa karibu zaidi miongoni mwa nchi za Kiislamu, akisema Iran imenyoosha “mkono wa urafiki” kwa nchi za kanda hii katika harakati za kutafuta mfumo mpya wa usalama.
14:55 , 2026 Jun 24
Mamilioni ya Wairani washiriki Tasu'a ya Imam Hussein (AS)

Mamilioni ya Wairani washiriki Tasu'a ya Imam Hussein (AS)

IQNA-Wairani katika mji mkuu Tehran, majiji, miji na vijiji vyote nchini usiku wa kuamkia leo walikusanyika misikitini na katika vituo vya kidini na barabarani katika marasimu ya kuadhimisha Tasu'a, siku ya tisa ya mwezi Muharram, kuelekea kwenye Siku ya Ashura ya kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW).
14:07 , 2026 Jun 24
Usomaji wa Aya za Surah Al-Isra na An-Nazi’at na Qari Jafar Fardi kutoka Iran

Usomaji wa Aya za Surah Al-Isra na An-Nazi’at na Qari Jafar Fardi kutoka Iran

IQNA – Qari maarufu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Jafar Fardi, hivi karibuni alibariki hadhira kwa usomaji mtukufu wa aya ya 1 hadi 3 za Surah Al-Isra na aya ya 26 hadi 27 za Surah An-Nazi’at, ndani ya Haram Takatifu ya Imam Reza (AS) iliyoko Mashhad.
15:16 , 2026 Jun 23
Maombolezo ya Muharram katika miji na majiji 400 nchini Niger na Nigeria

Maombolezo ya Muharram katika miji na majiji 400 nchini Niger na Nigeria

IQNA – Tangu kuanza kwa mwezi mtukufu wa Muharram wiki iliyopita, Waislamu wa madhehebu ya Shia wameandaa majlisi na shughuli za maombolezo kukumbuka kuuawa shahidi kwa Imam Hussein (AS) katika miji na majiji 400 nchini Niger na Nigeria.
15:09 , 2026 Jun 23
Mashhad inatarajiwa kupokea Milioni 15 kwa ajili ya mazishi ya Kiongozi Shahidi

Mashhad inatarajiwa kupokea Milioni 15 kwa ajili ya mazishi ya Kiongozi Shahidi

IQNA – Gavana wa mji mtakatifu wa Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran amesisitiza utayari kamili wa mji huo katika kuandaa shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei.
15:00 , 2026 Jun 23
Mwigizaji mkongwe wa marekani, Giancarlo Esposito, asilimu

Mwigizaji mkongwe wa marekani, Giancarlo Esposito, asilimu

IQNA – Mwigizaji maarufu wa Hollywood, Giancarlo Esposito, amethibitisha kuingia kwake katika dini ya Kiislamu baada ya kutamka Shahada, nguzo kuu ya imani ya Kiislamu, na kushiriki katika ibada ya swala msikitini pamoja na wahudumu wenzake wa uzalishaji wa filamu.
14:18 , 2026 Jun 23
Kamera 2,000 za usalama zatazama shughuli za maombolezo Karbala

Kamera 2,000 za usalama zatazama shughuli za maombolezo Karbala

IQNA – Katika jitihada za kuimarisha usalama na kuhakikisha utulivu wakati wa siku tukufu za Tasua na Ashura katika mji mtakatifu wa Karbala, nchini Iraq, jumla ya kamera 2,000 za kisasa (smart cameras) zimewekwa kama sehemu ya mpango maalum wa kiusalama.
14:14 , 2026 Jun 23
Maelfu wahudhuria maombolezo ya Muharram Tehran, wamkumbuka Kiongozi aliyeuawa Shahidi

Maelfu wahudhuria maombolezo ya Muharram Tehran, wamkumbuka Kiongozi aliyeuawa Shahidi

IQNA – Maombolezo ya Muharram kwa ajili ya Imam Hussein (AS) yamefanyika karibu na Husseiniyeh ya Imam Khomeini (RA) jijini Tehran, siku ya Jumapili jioni.
19:28 , 2026 Jun 22
Al‑Azhar yazindua mpango wa kugawa Misahafu nchini Misri

Al‑Azhar yazindua mpango wa kugawa Misahafu nchini Misri

IQNA – Idara ya Taasisi za Kituo cha Kiislamu cha Al‑Azhar imeanzisha mpango wa kugawa nakala za Qur’ani Tukufu kwa Maktab (vituo vya jadi vya kuhifadhi Qur’ani) kote nchini Misri.
19:16 , 2026 Jun 22
Usajili wa Mazuwar Wairani kwa ajili ya Matembezi ya Arbaeen kuanza 30 Juni

Usajili wa Mazuwar Wairani kwa ajili ya Matembezi ya Arbaeen kuanza 30 Juni

IQNA – Makao Makuu ya Arbaeen ya Imam Hussein (AS) nchini Irani yametangaza rasmi tarehe za kuanza kwa usajili wa waumini wanaokusudia kushiriki katika matembezi ya Arbaeen ya mwaka huu nchini Iraq.
19:09 , 2026 Jun 22
Sarawak ya Malaysia Yatumia Mifuko Rafiki kwa Mazingira Katika Hafla ya Utupaji wa Majivu ya Misahafu

Sarawak ya Malaysia Yatumia Mifuko Rafiki kwa Mazingira Katika Hafla ya Utupaji wa Majivu ya Misahafu

IQNA – Jimbo la Sarawak nchini Malaysia limetekeleza zoezi la kuweka ndani ya bahari kilo 1,802 za majivu ya misahafu ya Qur’ani Tukufu katika Bahari ya China Kusini siku ya Jumamosi, kwa kutumia mifuko maalumu ya karatasi inayoweza kuzorota kirahisi bila kudhuru mazingira.
12:08 , 2026 Jun 22
1 2 3 4 5