IQNA

Mpango mpya katika Al Masjid An Nabawi waboresha ziara ya wageni

Mpango mpya katika Al Masjid An Nabawi waboresha ziara ya wageni

IQNA – Kwa lengo la kuizidisha safari ya kiroho ya mamilioni ya wanaouzuru Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi huko Madina Al-Munawwara, umeanzishwa mpango wa mwongozo kwa wageni unaounganisha ukunjufu wa mapokezi na mafundisho ya dini.
15:07 , 2026 Jun 01
Wiki ya 15 ya Kimataifa ya Ghadir Yaanza Najaf

Wiki ya 15 ya Kimataifa ya Ghadir Yaanza Najaf

IQNA – Idara ya Mfawidhi au Msimamizi wa wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, Jumapili imetangaza kuanza kwa shughuli za Wiki ya 15 ya Kimataifa ya Ghadir.
14:49 , 2026 Jun 01
Kisomo cha Surat Yusuf: Njia ya ufanisi na lakabu ya “Sultan al-Qurra” kwa Sheikh al-Sayyid Saeed

Kisomo cha Surat Yusuf: Njia ya ufanisi na lakabu ya “Sultan al-Qurra” kwa Sheikh al-Sayyid Saeed

IQNA – Wengi wanaamini kuwa kurekodiwa kwa Surat Yusuf kulikuwa mgeuko wa kweli katika maisha ya Sheikh al-Sayyid Saeed, na mafanikio hayo makubwa yakamfanya ajipatie umaarufu na hatimaye kunyakua lakabu inayostahiki ya “Sultan al-Qurra” (Mfalme wa Wasomaji Qur’ani).
21:55 , 2026 May 31
Aliyekuwa mfasiri wa kwanza wa Qur’ani kwa Lugha ya Tamazight (Amazigh) ameaga dunia

Aliyekuwa mfasiri wa kwanza wa Qur’ani kwa Lugha ya Tamazight (Amazigh) ameaga dunia

IQNA – Sheikh Hajj Muhannad Tayeb, msomi mashuhuri na mfasiri wa Qur’ani Tukufu nchini Algeria, amerejea kwa Mola wake siku ya Jumamosi.
21:47 , 2026 May 31
Video ya Rais Erdoğan akisoma Qur’ani yatikisa mitandao ya kijamii

Video ya Rais Erdoğan akisoma Qur’ani yatikisa mitandao ya kijamii

IQNA – Video iliyosambazwa mtandaoni ikimuonesha Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, akisoma aya za Qur’ani Tukufu ndani ya Msikiti wa Aya Sofya mjini Istanbul, imepokelewa vyema na watumiaji wa mitandao ya kijamii.
21:37 , 2026 May 31
Nakala za Qur’ani kwa lugha 80 zazawadiwa Mahujaji wanaorejea makwao

Nakala za Qur’ani kwa lugha 80 zazawadiwa Mahujaji wanaorejea makwao

IQNA – Katika vituo vya kuondokea abiria vya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mfalme Abdulaziz uliopo Jeddah, kuna jitihada tulivu na yenye baraka zinazoendelea.
21:22 , 2026 May 31
Wizara ya Wakfu ya Misri yamuenzi Qari marhum Shekh Hilal

Wizara ya Wakfu ya Misri yamuenzi Qari marhum Shekh Hilal

IQNA – Wizara ya Awqaf (Wakfu) ya Misri imeuhuisha na kuuenzi ukumbusho wa qari marehemu wa Qur’ani Tukufu, Sheikh Sayyid Abdul Shafi Hilal, katika maadhimisho ya siku yake ya kuzaliwa.
16:03 , 2026 May 30
Bendera ya Ghadir yakabidhiwa kwa Haram Tukufu ya Bibi Masoumeh (SA) mjini Qom

Bendera ya Ghadir yakabidhiwa kwa Haram Tukufu ya Bibi Masoumeh (SA) mjini Qom

IQNA – Ujumbe kutoka Astan (uongozi wa uangalizi/uhudumiaji) wa haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf nchini Iraq umekabidhi bendera za Ghadir kwa haram ya Bibi Masoumeh (SA) pamoja na Msikiti wa Jamkaran katika mji wa Qom nchini Iran
15:47 , 2026 May 30
Hamas: Kufungwa kwa Msikiti wa Ibrahimi ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa ibada

Hamas: Kufungwa kwa Msikiti wa Ibrahimi ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa ibada

IQNA – Hatua ya utawala wa Israel ya kuufunga Msikiti wa Ibrahimi katika mji wa Al-Khalil (Hebron) ni ukiukaji wa wazi wa uhuru wa kuabudu na wa haki ya wananchi wa Palestina, harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imesema.
15:38 , 2026 May 30
UN yapinga hatua ya Netanyahu kunyakua ardhi ya Gaza, yasema yote ni miliki ya Wapalestina

UN yapinga hatua ya Netanyahu kunyakua ardhi ya Gaza, yasema yote ni miliki ya Wapalestina

IQNA-Umoja wa Mataifa umekosoa vikali mipango ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ya kupanua udhibiti juu ya Ukanda wa Gaza, na kusisitiza kuwa eneo lote ni haki ya watu wa Palestina.
15:32 , 2026 May 30
Hija: Msimu wa umoja na mwamko wa kisiasa kwa Umma wa Kiislamu

Hija: Msimu wa umoja na mwamko wa kisiasa kwa Umma wa Kiislamu

IQNA – Mwandishi na mwandishi wa habari kutoka Morocco amesisitiza kuwa Hija ni fursa ya kuimarisha kuishi kwa pamoja, kukubali tamaduni za wengine, na kufunguka kwa desturi na mila za mataifa mbalimbali.
18:11 , 2026 May 29
Mstahiki Meya wa New York Mamdani alaani vita vya Marekani dhidi ya Iran, asema lazima viishe

Mstahiki Meya wa New York Mamdani alaani vita vya Marekani dhidi ya Iran, asema lazima viishe

IQNA – Mstahiki Meya wa Jiji la New York, Zohran Mamdani, amelaani vikali vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran akivitaja kuwa ni mgogoro usio na msingi, na kusisitiza kuwa vita hivyo ni lazima viishe mara moja kwa ajili ya usalama wa raia wa mataifa mengine, na pia kwa manufaa ya Wamarekani wanaopambana na hali ngumu ya maisha nyumbani kwao.
18:04 , 2026 May 29
Msikiti mpya Russia waandaa Mashindano ya Qur’ani

Msikiti mpya Russia waandaa Mashindano ya Qur’ani

IQNA – Kijiji cha Kardonikskaya katika Jamhuri ya Karachay-Cherkessia nchini Russia, katika eneo la kaskazini-magharibi mwa Caucasus, kimeshuhudia ufunguzi rasmi wa msikiti mpya, hafla iliyoambatana na mashindano ya Qur’ani.
18:00 , 2026 May 29
Qari wa Iran Asoma Aya za Surah Al-Hajj

Qari wa Iran Asoma Aya za Surah Al-Hajj

IQNA – Qari wa Iran, Javad Soleimani, ambaye ni msomaji wa Qur’ani katika Haram Tukufu ya Imam Reza (A.S.) huko Mashhad, hivi karibuni alisoma aya 73 hadi 78 za Surah Al-Hajj.
17:52 , 2026 May 29
Mwanazuoni: Kurudisha Hija kwenye Mkondo wa Kiibrahimu ni Suluhisho kwa Ulimwengu wa Kiislamu

Mwanazuoni: Kurudisha Hija kwenye Mkondo wa Kiibrahimu ni Suluhisho kwa Ulimwengu wa Kiislamu

IQNA – Mwanazuoni mmoja wa Iran amesema kuwa Bara’ah min al-Mushrikin (kujivua na kujitenga na washirikina) ndiyo nyenzo bora zaidi ya kuifufua Hija ya Kiibrahimu.
17:51 , 2026 May 29
7 8 9 10