IQNA – Katika kuadhimisha kumbukumbu tukufu ya ndoa ya Bibi Fatima Zahra (SA) na Imam Ali (AS), sherehe ya harusi ya pamoja kwa maharusi au wanandoa 110 ilifanyika katika Uwanja wa Imam Hussein (AS) jijini Tehran, tarehe 18 Mei 2026, ikihudhuriwa na umati mkubwa wa watu.
10:50 , 2026 May 22