IQNA

Rais wa Iran azungumza na viongozi wa nchi za Kiislamu wakati wa Eid, ahimiza mshikamano

Rais wa Iran azungumza na viongozi wa nchi za Kiislamu wakati wa Eid, ahimiza mshikamano

IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mheshimiwa Masoud Pezeshkian, ametoa wito wa kuimarishwa kwa umoja na ushirikiano miongoni mwa nchi za Kiislamu, akisisitiza kuwa mshikamano wa Ummah mzima wa Kiislamu ni nguzo muhimu katika kukabiliana na vitisho na changamoto zinazokabili eneo la Magharibi mwa Asia.
15:24 , 2026 May 27
Eid al-Adha: Kutoka Mapokezi ya Kiibrahim hadi Mila za Kiislamu Leo

Eid al-Adha: Kutoka Mapokezi ya Kiibrahim hadi Mila za Kiislamu Leo

IQNA – Eid al-Adha, ambayo ni miongoni mwa sikukuu adhimu zaidi katika Uislamu, ni ukumbusho wa kisa cha kihistoria cha imani, taslimu (kujisalimisha kwa Allah), na kujitolea.
15:18 , 2026 May 27
Wapalestina wajaza viwanja vya Msikiti wa Al-Aqsa  wakati wa Eid

Wapalestina wajaza viwanja vya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Eid

IQNA – Maelfu ya waumini wa Kiislamu wameadhimisha swala ya Eid al-Adha katika Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, katika mji mtakatifu wa Al-Quds, siku ya Jumatano.
15:02 , 2026 May 27
Zaidi ya washiriki 67,000 wajisajili katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

Zaidi ya washiriki 67,000 wajisajili katika Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

IQNA – Zaidi ya watu 67,000 wamejisajili kwa ajili ya duru ya 49 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Muda wa mwisho wa usajili, ambao ulikuwa umeongezwa mara moja, umefika tamati siku ya Jumatatu.
14:55 , 2026 May 27
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Mujtaba Khamenei

Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu, Ayatullah Mujtaba Khamenei

IQNA-Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuwadia msimu wa Hijja ya Nabii Ibrahim (as), Ayatullah Seyyed Mojtaba Hosseini Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ametaja amali na thikri zilizajaa maana za Hijja na kusema ni ishara za kudumu milele kwa wanadamu kwa ajili ya kuwahamasisha waelekee kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu,
20:49 , 2026 May 26
Mwanazuoni: Siku ya Arafah Ni Mkataba wa Ukombozi wa Mwanadamu

Mwanazuoni: Siku ya Arafah Ni Mkataba wa Ukombozi wa Mwanadamu

IQNA – Mhadhiri mwandamizi wa Hauza (chuo kikuu cha Kiislamu) ya Qom amesema kuwa Siku ya Arafah ni “mkataba wa uhuru wa mwanadamu” na msingi wa kielimu na kiutambuzi unaomuwezesha binadamu kujinasua kutoka katika utegemezi wa nguvu zisizo za Kiungu.
15:08 , 2026 May 26
Haram ya Imam Ali (AS) yatangaza utayari wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Wiki ya Ghadir

Haram ya Imam Ali (AS) yatangaza utayari wa Maadhimisho ya Kimataifa ya Wiki ya Ghadir

IQNA – Uongozi wa Haram Takatifu ya Imam Ali (AS) mjini Najaf, Iraq, umetangaza kuwa umekamilisha maandalizi yote ya kuendesha programu za Wiki ya Kimataifa ya Ghadir kwa mwaka 1447 Hijria.
14:58 , 2026 May 26
Mradi wa Elimu ya Qur’ani Waendelea Kujengwa katika Mji Mkuu wa Ethiopia

Mradi wa Elimu ya Qur’ani Waendelea Kujengwa katika Mji Mkuu wa Ethiopia

IQNA – Msikiti na Shule ya Omar Bin Khattab ni miongoni mwa miradi mikubwa na inayoibukia ya Qur’ani Tukufu katika mji wa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, huku ujenzi na maendeleo ya sehemu mbalimbali za mradi huo yakiendelea kwa kasi.
12:12 , 2026 May 26
Wito wa kufanyika uchunguzi  baada ya maneneo ya Chuki dhidi ya Uislamu kuandikwa Missouri

Wito wa kufanyika uchunguzi baada ya maneneo ya Chuki dhidi ya Uislamu kuandikwa Missouri

IQNA – Wakazi wa kitongoji kilichopo kusini mwa Kaunti ya St. Louis, jimboni Missouri nchini Marekani, wameamka mwishoni mwa wiki wakikuta mandhari ya kutia hofu, baada ya njia za waenda kwa miguu na baadhi ya barabara kuchafuliwa kwa maandishi ya chuki dhidi ya Waislamu.
12:00 , 2026 May 26
Shule ya Qurani ya Noor; Tumaini la Maisha Mapya Gaza

Shule ya Qurani ya Noor; Tumaini la Maisha Mapya Gaza

IQNA – Katikati ya maangamizi yaliyosababishwa na vita vya mauaji ya kimbari vilivyotekelezwa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, Shule ya Qur'ani ya Noor iliyopo Khan Yunis inaendelea kujitahidi kufungua dirisha jipya la maisha.
19:51 , 2026 May 25
Misahafu 1,500 Yagawanywa kwa Wanafunzi wa Madrasa nchini Chad

Misahafu 1,500 Yagawanywa kwa Wanafunzi wa Madrasa nchini Chad

IQNA – Wanafunzi wa madrasa nchini Chad wamezawadiwa Misahafu au nakala 1,500 za Qur’ani Tukufu na taasisi ya kutoa misaada ya nchini Uturuki inayojulikana kama Orphan Foundation (Yetimler Vakfı).
19:44 , 2026 May 25
Barabara za Baridi, Mahema yenye Kivuli, na Mitambo ya Ukungu: Sayansi ya Uhandisi katika Kukabiliana na Joto la Hijja

Barabara za Baridi, Mahema yenye Kivuli, na Mitambo ya Ukungu: Sayansi ya Uhandisi katika Kukabiliana na Joto la Hijja

IQNA – Huku zaidi ya mahujaji milioni 1.6 wakijumuika katika joto kali la kiangazi, minara ya kutoa ukungu wa maji (mist), njia zenye vivuli, na mifumo ya kisasa ya kupoza hewa imesambazwa katika maeneo matakatifu ya Makka ili kuwakinga waumini dhidi ya joto kali wakati wa msimu wa Hijja wa mwaka huu.
19:28 , 2026 May 25
Mtoto wa Kimisri Ang’ara Katika Maadhimisho ya Siku ya Qur’ani nchini Oman

Mtoto wa Kimisri Ang’ara Katika Maadhimisho ya Siku ya Qur’ani nchini Oman

IQNA – Kijana mdogo kutoka nchini Misri amewastaajabisha waandaaji wa programu ya Siku ya Qur’ani nchini Oman, baada ya kufanikiwa kusoma Qur'ani Tukufu nzima kwa kichwa (hifdhu) ndani ya muda wa saa nane pekee, akionyesha ustadi wa hali ya juu na weledi wa kustaajabisha.
19:23 , 2026 May 25
Mahmoud Khalil apigana ajili ya uhuru wa kujieleza Marekani

Mahmoud Khalil apigana ajili ya uhuru wa kujieleza Marekani

IQNA – Mahmoud Khalil, mwanaharakati Mpalestina, amekata rufaa katika Mahakama Kuu ya Marekani ili kuzuia kufukuzwa kwake nchini humo.
17:44 , 2026 May 24
Kituo cha Kiislamu nchini Poland chakaribisha Mkutano wa Dini na Tamaduni mbalimbali

Kituo cha Kiislamu nchini Poland chakaribisha Mkutano wa Dini na Tamaduni mbalimbali

IQNA – Kituo cha Utamaduni cha Kiislamu katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, kimeshuhudia ushiriki mpana wa watu wa dini na tamaduni mbalimbali katika hafla ya “Usiku wa Makumbusho 2026” (Night of Museums 2026).
17:35 , 2026 May 24
8 9 10 11