IQNA- Watu 13 Wauawa Katika Shambulio la India Kwenye Msikiti wa Pakistan: Afisa Shambulio la kombora la India kwenye msikiti huko Bahawalpur, mji katika Punjab ya Pakistan, afisa wa Pakistani alisema. Afisa huyo aliongeza kuwa wanawake na watoto walikuwa miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo.
Habari ID: 3480652 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/07
IQNA-Ripoti mpya ya Taasisiya India Hate Lab (IHL) imebaini ongezeko kubwa la matukio ya hotuba na kauli za chuki katika maeneo mbalimbali nchini India kufuatia shambulio la kigaidi lililotokea Pahalgam, Jammu na Kashmir, mnamo Aprili 21.
Habari ID: 3480633 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/04
IQNA – Aplikesheni mpya ya simu nchini India inatoa tafsiri ya Qur'ani kwa lugha ya Kihindi.
Habari ID: 3479973 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/29
IQNA – Kubomolewa Msikiti wa miaka 1,200 Dargah (makaburi matakatifu ya Waislamu), katika wilaya ya Gir Somnath, Gujarat ya India kumeibua maandamano makubwa.
Habari ID: 3479517 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/30
IQNA - Waziri wa Ulinzi wa India Rajnath Singh alihimizwa na kundi la watu mashuhuri kusitisha mara moja usafirishaji wa silaha kwenda Israel, ambayo inaendelea na vita vyake vya mauaji ya halaiki kwenye Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3479228 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
Chuki dhidi ya Uislamu India
Watu walizuia Shirika la Manispaa ya Delhi (MCD) kubomoa ukuta wa mpaka wa msikiti katika wilaya ya Rohini siku ya Jumanne.
Habari ID: 3479016 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/27
Waislamu India
IQNA - Matokeo ya uchaguzi mkuu wa India yanaonyesha kuwa muungano wa Waziri Mkuu Narendra Modi umepata viti vichache sana kuliko ilivyotarajiwa.
Habari ID: 3478944 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yalifanyika Vijayawada, Jimbo la Andhra Pradesh nchini India.
Habari ID: 3478340 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/12
Waislamu India
IQNA - Pakistan imetoa wito kwa Umoja wa Mataifa kuingilia kati na kulinda misikiti na maeneo ya turathi ya Kiislamu nchini India, kufuatia kuharibiwa kwa msikiti wa kihistoria wa Akhunji mjini New Delhi wiki iliyopita.
Habari ID: 3478329 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/10
Waislamu India
IQNA - Takriban watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa wakati wa maandamano yaliyotokana na ubomoaji wa msikiti na shule wa Kiislamu nchini India, ikiwa ni tukio la hivi punde zaidi katika msururu wa ubomoaji unaolenga majengo ya Waislamu.
Habari ID: 3478323 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/09
Waislamu India
IQNA - Msikiti wa Gyanvapi huko Varanasi, ni eneo la kihistoria iliyojengwa katika karne ya 17, umekuwa kitovu cha hivi punde katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kati ya Wahindu na Waislamu nchini India.
Habari ID: 3478291 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02
Waislamu India
IQNA-Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, baada ya kuzinduliwa hekalu la Ram, ambalo lilijengwa na Wahindu wenye itikadi kali katika sehemu ambayo zamani palikuwa na msikiti wa Babri katika jimbo la Uttar Pradesh, duru mpya ya mashinikizo ya kijamii dhidi ya Waislamu wa India imeanza.
Habari ID: 3478256 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26
Hali ya Waislamu India
IQNA - Baadhi ya Waislamu wanaoishi karibu na hekalu jipya la Wahindu huko Ayodhya, India, wanapanga kuzihamisha familia zao kabla ya mwezi ujao wa uzinduzi wa hekalu ambalo limejengwa katika eneo la msikiti uliokuwa maarufu uliojulikana kama Masjid Babri, wakihofia kutokea mapigano na wafanyaziara wa Kihindu.
Habari ID: 3478068 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/21
Kadhia ya Kashmir
IQNA - Mamlaka katika eneo linalozozaniwa la Kashmir linalotawaliwa na India haikuruhusu Sala ya Ijumaa ya jamaa kwenye Msikiti wa Jamia huko Srinagar kwa wiki ya kumi mfululizo.
Habari ID: 3478042 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/16
Elimu na Ustawi
NEW DELHI (IQNA) - Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Aligarh (AMU), chuo kikuu kikuu cha umma huko Aligarh, Uttar Pradesh ya India, kimezindua mpango wa anga za mbali ambao unalenga kurusha satelaiti katika siku zijazo.
Habari ID: 3477813 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/30
Kimbunga cha Al Aqsa
TEHRAN (IQNA)- Katika hali ambayo, serikali ya India imechukua mkono wa sera za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza, mamia ya wanafunzi wa vyuo vikuu mbalimbali vya New Delhi, mji mkuu wa nchi hiyo wameandamana na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wakazi wa Gaza.
Habari ID: 3477790 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/26
Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Wahindu wenye msimamo mkali walimpiga na kumuuai Mwislamu mlemavu kwa kula prasad kwenye hekalu.
Habari ID: 3477669 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29
Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Zaidi ya mikusanyiko 250 dhidi ya Waislamu ilifanyika katika majimbo 17 ya India katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2023, kulingana na ripoti ambayo inaangazia mwelekeo unaoongezeka wa chuki dhidi ya Uislamu nchini India tangu 2014.
Habari ID: 3477656 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/26
Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Chuki dhidi ya Uislamu nchini India imeenea zaidi kuliko hapo awali, alisema waziri mkuu wa zamani na makamu wa rais wa Mkutano wa Kitaifa, Omar Abdullah.
Habari ID: 3477646 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/24
Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Familia ya Nurul Hassan, mhandisi Mwislamu katika jimbo la Maharashtra nchini India, iko katika hali ya mshtuko baada ya kuuawa kwake kikatili na kundi la Wahindu kwenye msikiti.
Habari ID: 3477609 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/16