IQNA

20:30 - June 23, 2020
News ID: 3472892
TEHRAN (IQNA) – Moja ya mbinu za qiraa ya Qur’ani Tukufu ni kusoma aya au sura ndefu kwa pumzi moja sambamba na kuzingatia kanuni zote za usomaji.

Klipu hii hapa chini ni ya qiraa ya pumzi moja ya wasomaji 11 mashuhuri wa Qur’ani Tukufu duniani.

Kati ya maqarii mashuhuri katika klipu hii ni Ahmed Ahmed Noaina, Abdul Fattah Taruti, Rafat Hussein, Mohamed al-Laithi, Samir Antar Muslim na  Abdul Wali al-Arkani.

 3906274

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: