IQNA

Ghaza iko katika moto na damu

13:54 - May 16, 2021
Habari ID: 3473914
TEHRAN (IQNA)- Jumamosi ya jana ilishuhudia siku ya sita tokea utawala wa Kizayuni wa Israel unazishe hujuma ya kinyama dhidi ya Wapalestina katika eneo la Ukanda wa Ghaza.

Hadi sasa Wapalestina 170, wakiwemo watoto 41, wameuawa shahidi katika  hujuma hii mpya ya utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Ghaza huku wengine 1,000 wakijeruhiwa.

 
 
Kishikizo: ghaza ، palestina ،
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha