TEHRAN (IQNA)- Waislamu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi na magaidi mbele ya mlango wa msikiti kusini mwa Ufaransa.
Habari ID: 3471050 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran ametaka vyombo vya mahakama nchini viwatetee Waislamu wanaodhulumiwa duniani
Habari ID: 3471049 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel sasa utatimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuuteka mji mtakatifu wa Makka kupitia msaada wa Muhammad bin Salman, mrithi mpya wa kiti cha ufalme nchini humo.
Habari ID: 3471048 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/03
TEHRAN (IQNA)- Paul Pogba, mchezaki soka wa timu ya Manchester United ya Uingereza ni Mwislamu anayefungamana na mafundisho ya dini amesema Uislamu hauna uhusiano na ugaidi.
Habari ID: 3471046 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02
TEHRAN (IQNA)-Imebainika kuwa katika gereza moja lililo katika mji mkuu wa Tanzania, Dar es Salaam wamejaa mahafidh wa Qur ‘anI Tukufu wakitumikia kifungo, wengine
Habari ID: 3471045 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/02
TEHRAN (IQNA)-Waislamu wa eneo la Qatif nchini Saudi Arabia wanaombolezo mauji ya kidhalimu mwalimu wa Qur'ani Tukufu, Amin al Hani, aliyepigwa risasi na kuuwa shahidi na wanajeshi wa utawala wa kiimla wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471044 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/01
TEHRAN (IQNA)-Wamarekani ambao wamebadilisha dini au itikadi na kuwa Waislamu wanakumbwa na matatizo maradufu zaidi ya Waislamu wengine Marekani.
Habari ID: 3471043 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/30
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Iraq limeyakomboa maeneo yote ya mji wa Mosul ambao ulikuwa makao ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh na kwa utaratibu huo kuangamiza khilafa bandia ya kundi hilo la kitakfiri iliyokuwa imetangazwa mjini humo.
Habari ID: 3471042 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/29
TEHRAN (IQNA)- Kumefanyika kikao cha siri mjini Cairo kati ya nchi kadhaa za Kiarabu na Utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu mustakabali wa eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471041 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/29
TEHRAN (IQNA)-Radio Bilal nchini Uganda imeandaa mashindano ya Qur'ani yaliyofanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471040 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetoa msaada wa mamia ya nakala za Qur'an Tukufu kwa ajili ya Waislamu nchini Russia.
Habari ID: 3471039 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu zaidi ya 100,000 wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr Jumapili katika bustani moja Uingereza na kuufanya mjumuiko huwa kuwa mkubwa zaidi wa sala ya Idi barani Ulaya.
Habari ID: 3471038 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/27
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Sala ya Idul Fitr
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, migogoro ya Yemen, Kashmir na Bahrain ni jeraha kubwa linaoukabili umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3471037 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/26
TEHRAN (IQNA)-Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha hewani mashindano makubwa zaidi duniani ya Qur'ani ya moja kwa moja (live).
Habari ID: 3471035 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/25
TEHRAN (IQNA) Waislamu na watetezi wa haki Tanzania na Kenya wameungana na wapigania haki duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471033 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/24
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wanaendelea kujadili mtaala katika shule za Kiislamu maarufu kama Madrassah huku kukitolewa tahadhari ya kuingizwa misimamo mikali ya kidini katika mtaala huo.
Habari ID: 3471032 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/23
TEHRAN (IQNA)- Mfalme Salman wa Saudia Jumatano alimtimua mrithi wa kiti chake na kumkabidhi nafasi hiyo mwanaye Muhammad bin Salman katika hatua iliyotajwa kuwa ni mapinduzi katika utawala.
Habari ID: 3471031 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei ameitaja Siku ya Kimataifa ya Quds kuwa yenye umuhimu mkubwa.
Habari ID: 3471030 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/22
TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya watu kote duniani wanatazamiwa kujitokeza kwa wingi kwa munasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo inafanyika Ijumaa kwa lengo la kuwaunga mkono Wapalestina na kulaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471029 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/21
TEHRAN (IQNA)-Katika hatua inayoatathminiwa kuwa ya kibaguzi, Jeshi la Polisi nchini Marekani limedai mauaji ya binti Mwislamu nje ya msikiti si ya kigaidi.
Habari ID: 3471028 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20