iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Katika hatua inayoatathminiwa kuwa ya kibaguzi, Jeshi la Polisi nchini Marekani limedai mauaji ya binti Mwislamu nje ya msikiti si ya kigaidi.
Habari ID: 3471028    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20

TEHRAN (IQNA) Waislamu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanakabaliwa na hali mbaya huku wengi wakiwa hawana chakala wala makao katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya kufurushwa na genge la Kikristo la Anti Balaka.
Habari ID: 3471027    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20

TEHRAN (IQNA)-Mwislamu ameuawa Jumatatu usiku baada ya gaidi kuhujumu Msikiti mjini London Uingereza huku Waislamu wakikosoa vyombo vya habari na serikali kwa ubaguzi baada ya tukio.
Habari ID: 3471026    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/19

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran limetekeleza shambulizi la makombora na kulenga ngome za magaidi wa ISIS au Daesh nchini Syria ambapo mamia ya magaidi wameangamizwa.
Habari ID: 3471025    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/19

TEHRAN (IQNA)-Wataalamu wa akiolojia wamegundua mji wa kale wa Kiislamu ambao ulikuwa kituo cha kibiashara zaidi ya miaka 1,000 iliyopita
Habari ID: 3471024    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18

TEHRAN (IQNA)-Maelfu ya watu, wengi wao wakiwa Waislamu, wameandamana katika mji wa Cologne magharibi mwa Ujerumani kupinga ugaidi unaotendwa kwa jina la Uislamu.
Habari ID: 3471023    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18

TEHRAN (IQNA) –Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yamemalizika Ijumaa usiku katika sherehe iliyofanyika mjini Tehran.
Habari ID: 3471021    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/17

Wizara ya Ulinzi ya Russia
TEHRAN (IQNA)-Russia imetangaza kuwa inachunguza ripoti zinazoashiria kuwa huenda kinara wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh, Abu Bakr Al-Baghdadi ameuawa katika hujuma ya ndege za Russia nchini Syria.
Habari ID: 3471020    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/16

TEHRAN (IQNA)-Waislamu waliokuwa wameamka kutekeleza ibada za usiku za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi wakati wa kuanza kuteketea moto jengo la Grenfell Tower mjini London.
Habari ID: 3471019    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/15

TEHRAN (IQNA)-Kufuatia nchi kadhaa za Kiarabu zikiongozwa na Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu UAE kukata uhusiano na Qatar, washiriki wa Qatari na Somalia wametimuliwa katika mashindano ya Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471018    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/13

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji mkuu wa Iceland, Reykjavik wanafunga masaa 22 kwa siku katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani kutokana na usiku kuwa mfupi katika ncha ya kaskazini duniani.
Habari ID: 3471017    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/12

TEHRAN (IQNA)-Shule moja nchini Afrika Kusini imekosolewa kwa kuanzisha vitambulisho maalumu kwa wanafunzi wa kike Waislamu wanaotakiwa kuvaa Hjabu.
Habari ID: 3471016    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/11

TEHRAN (IQNA)-Jamii ndogo wa wanafunzi wenye ulemavu wa macho Malaysia wanajitahidi kuhifadhi Qur'ani kikamilifu kwa kutegemea misahafu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu au Braille.
Habari ID: 3471015    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10

Habari ID: 3471014    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/10

Hujuma za kigaidi za kundi la ISIS mjini Tehran Jumatano zimeendelea kulaania kimataifa.
Habari ID: 3471013    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/08

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Seyed Mehdi Taqavi mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA), ni kati ya watu waliouawa shahidi katika hujuma ya kigaidi katika Bunge la Iran.
Habari ID: 3471012    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/07

TEHRAN-(IQNA)-Mashindano ya 18 ya Kieneo ya Qur'ani Tukufu yameanza Jumapili nchini Djibouti.
Habari ID: 3471011    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/07

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Marekani acheza densi na kinara wa ukoo kisha akosoa uchaguzi wa Wairani milioni 40
Habari ID: 3471009    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05