iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa Saudi Arabia wanaendelea kuwaua na kuwakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470985    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/19

TEHRAN (IQNA)-Madrassah za jadi za kufunza Qur'ani nchini Eritrea zinaendelea kufunza Qur'ani kwa mbinu za kale huku zikizidi kuenea katika nchi hiyo ya kaskazini mashariki mwa Afrika.
Habari ID: 3470984    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/18

TEHRAN (IQNA)-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imelaani vikali mauaji ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ambayo yametekelezwa na magaidi wa kundi la Kikristo la Anti-Balaka.
Habari ID: 3470982    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/17

TEHRAN (IQNA)-Uislamu unaenea kwa kasi nchini Zimbabwe huku wakaazi wengi wa nchi hiyo wakiwa sasa wanafahamu na kukubali mafundisho ya dini hiyo tukufu.
Habari ID: 3470981    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/15

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu yatafanyika nchini Uganda katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa ushirikiano wa Ofisi ya Utamaduni ya Iran na Radio Bilal nchini humo.
Habari ID: 3470980    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/14

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya kubwa zaidi ya wafanyakazi Norway imetangaza kususia bidhaa za utawala wa Kizayuni wa Israel kulalamikia ukandamizaji unaofanya na utawala huo dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3470978    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13

TEHRAN (IQNA)-Tafsiri ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kihispania ni kati ya vitabu katika Maonyesho ya Kimatiafa ya Vitabu ya Tehran yanayomalizika leo.
Habari ID: 3470977    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/13

TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya 15 ya mwezi mtukufu wa Shaaban ambayo ni siku ya kuzaliwa Mtukufu Imam wa Zama Imam Mahadi (-Mwenyezi Mungu Aharakishe Kudhihiri Kwake-af).
Habari ID: 3470976    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Sawa na miaka ya nyuma, kwa kutegemea hima, jitihada, ubunifu na vipawa vyake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itaendelea na mkondo wake wa 'nguvu ya kuzuia hujuma'.
Habari ID: 3470975    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/11

TEHRAN (IQNA)-Idadi ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu Marekani viliongezeka kwa asilimia 57 mwaka uliopita wa 2016.
Habari ID: 3470974    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/11

TEHRAN (IQNA)-Wawakilishi kutoka nchi 96 wamethibitisha kushiriki katika Mashindano ya 21 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Dubai katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470973    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/09

Msikiti wa Jamia Paris
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia wa mjini Paris umekaribisha ushindi wa Emmanuel Macron kama rais wa Ufaransa.
Habari ID: 3470972    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/08

TEHRAN (IQNA) Utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa nchini Bahrain, umeahirisha tena kesi ya Ayatullah Sheikh Isa Qassim.
Habari ID: 3470971    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/07

TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Mpira wa Kikapu (basketiboli) Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake Waislamu wenye Hijabu kushiriki katika michezo ya kimataifa ya basketiboli).
Habari ID: 3470970    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/06

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Madagascar imetangaza uamuzi wa kufunga madrassah na taasisi 16 za kufunza Qur'ani nchini humo hatua ambayo imewakasirisha Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470969    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/05

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Sudan imesema inaunga mkono Madrassah za jadi za nchi hiyo zinazofunza Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470968    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/05

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, kushiriki kwa wingi wananchi wa matabaka yote katika chaguzi za nchini Iran, daima kumekuwa kukipunguza kivuli cha uadui wa maadui wa taifa hili na kwamba mara hii pia kujitokeza kwa wingi wananchi kwenye uchaguzi huo kutapunguza shari za adui.
Habari ID: 3470963    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/01

TEHRAN (IQNA)-Kenya imeazimia kuimarisha utalii 'Halal' ambao unalenga kuwavutia watalii Waislamu kwa kutoa huduma ambazo zinazingatia mfundisho ya dini tukufu ya Kiislamu.
Habari ID: 3470962    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/30

TEHRAN (IQNA) –Utawala wa kiimla wa Bahrain umemtia mbaroni mwanazuoni mwingine wa Kiislamu huku ukandamizaji mkubwa wa wapinzani ukiendelea katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3470958    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/29

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kutetea hakiza binadamu la Human Rights Watch (HRW) limelaani vikali magenge ya wafuasi wa dini ya Kihindu wanaowahujumu na kuwaua Waislamu India kwa sababu tu ya kununua, kuuza au kichinja ng'ombe kwa ajili ya nyama.
Habari ID: 3470957    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/28