TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamepangwa kuanza tarehe 19 Aprili mjini Tehran.
Habari ID: 3470932 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/12
TEHRAN (IQNA)-Tuko katika siku ya kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.
Habari ID: 3470930 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/11
TEHRAN (IQNA)-Mji mkuu wa Kenya, Nairobi leo ni mwenyeji wa mkutano wa siku mbili ambao unachunguza namna nchi hiyo inaweza kunufaika na uchumi wa Kiislamu au uchumi Halal ambao unashika kasi duniani.
Habari ID: 3470929 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
Habari ID: 3470928 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA) Kundi la kigaidi la ISIS limetekeleza hujuma za mabomu dhidi ya makanisa mawili ya Kikhufti (Coptic) katika miji ya Tanta na Alexandria Misri na kuua Wakristo wasiopungua 47.
Habari ID: 3470926 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wameandamana kulaani mpango wa wakuu wa mji wa Nairobi kubomoa msikiti moja mjini humo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Habari ID: 3470925 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)-Mwanamke raia wa Uturuki ambaye amehifadhi nusu ya Qur'ani hivi sasa anataraji kuhifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3470924 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 23 la Ijaz (miujiza) katika Qur'ani Tukufu na Sunna ya Mtume SAW limefanyika wiki hii nchini Misri.
Habari ID: 3470923 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo.
Habari ID: 3470922 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
TEHRAN (IQNA)-Marekani imelaaniwa vikali kwa kutekeleza hujuma iliyo kinyume cha sheria dhidi ya Syria Ijumaa alfajiri na kulenga kituo cha kijeshi ambacho hutumiwa na ndege zinazowashambulia magaidi wa ISIS.
Habari ID: 3470921 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/07
TEHRAN (IQNA)-Washiriki zaidi ya 280 kutoka nchi 80 wanatazamiwa kushiriki katika mashindano kadhaa ya kimataifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3470920 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/06
TEHRAN (IQNA) Brazil imeulaani utawala wa Israel kwa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina.
Habari ID: 3470919 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/05
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Kenya imezindua bajeti ambayo itastawisha mfumo wa Kiislamu wa kifedha nchini humo kwa lengo la kuufanya mji mkuu, Nairobi kuwa kitovu cha sekta hiyo kieneo.
Habari ID: 3470918 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
TEHRAN (IQNA)-Raia 6,000 wa Kenya wanatazamiwa kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470917 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
TEHRAN (IQNA) Duru za usalama Iraq zinadokeza kuwa kuna uwezekano kuwa, kinara wa kundi la ISIS au Daesh la magaidi wakufurishaji kundi, Abubakar al-Baghdadi amenaswa kwenye mzingiro uliowekwa kwenye katika mji Mosul nchini Iraq.
Habari ID: 3470916 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/03
TEHRAN (IQNA)Jeshi la Iraq limetangaza kumuua kinara nambari mbili wa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh katika shambulizi la anga, magharibi mwa mkoa wa al-Anbar nchini humo.
Habari ID: 3470915 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/02
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Taliban wamekiri kutekeleza hujuma iliyolenga msikiti nchini Pakistan na kuua watu 24 na wengine zaidi ya 90 kujeruhiwa.
Habari ID: 3470914 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/31
TEHRAN (IQNA) Kumeshuhudiwa ongezeko la 62% la kuhujumiwa Waislamu na Uislamu nchini Austria mwaka 2016.
Habari ID: 3470913 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/30
TEHRAN (IQNA)-Mji wa Oxford nchini Uingereza utakuwa mwenyeji wa kongamano la kimataifa la Qur'ani Tukufu baadaye mwaka huu.
Habari ID: 3470912 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/29