iqna - Ukurasa 64

IQNA

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Marekani acheza densi na kinara wa ukoo kisha akosoa uchaguzi wa Wairani milioni 40
Habari ID: 3471009   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

TEHRAN (IQNA) Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukatika uhusiano na Qatar, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imekosoa hatua hiyo.
Habari ID: 3471008   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

TEHRAN (IQNA)-Kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la Waislamu nchini Madagascar katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
Habari ID: 3471007   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/05

TEHRAN (IQNA)-Denmark Imefuta sheria inayopiga marufuku kuzivunjia heshima dini na punde baada ya hapo aliyeivunjia heshima Qur'ani ameachiliwa huru.
Habari ID: 3471006   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/04

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nchi 20 zinashiriki katika Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3471005   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/03

TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Utawala haramu wa Israel limeua shahidi watoto zaidi ya 3,000 Wapalestina tangu ulipoanza mwamako wa pili wa Wapalestina maarufu kama Intifadha mwezi Septemba 2000.
Habari ID: 3471004   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/02

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Canada wanachangisha pesa kusaidia familia za raia wa Somalia wanaokabilia na baa la njaa.
Habari ID: 3471003   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/01

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu nchini Malawi sasa wanaweza kupigwa picha za leseni ya kuendesha gari wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471002   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/31

TEHRAN (IQNA)-Uingereza ni makaazi ya jamii anui ya Waislamu kutoka karibu pembe zote za dunia.
Habari ID: 3471001   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/30

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Malawi wameanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuzinduliwa televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3471000   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29

TEHRAN (IQNA)-Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yameanza leo Alasiri katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini SA mjini Tehran.
Habari ID: 3470999   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29

TEHRAN (IQNA)-Maulamaa wa Kiislamu nchini Tanzania wamesisitiza kuhusu kuhifadhi umoja wa wa Waislamu katika suala la mwezi mwandamo na kutangaza kuanza na kumalizika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470996   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/27

TEHRAN (IQNA)-Hatua ya mfalme wa Saudia kumpa mkono mke wa Rais Donald Trump wa Marekani akiwa safarini mjini Riyadh inaendelea kukosolewa na Waislamu duniani.
Habari ID: 3470995   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/26

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa ukiungwa mkono na Saudi Arabia na Marekani umepanga kuchukua uamuzi wa kumbaidisha Ayatullah Sheikh Isa Qassim mjini Najaf Iraq lakini wakuu wa Iraq wamepinga pendekezo hilo.
Habari ID: 3470993   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/25

TEHRAN (IQNA)- Sayyed Mostafa Husseini wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangazwa kushika nafasi ya pili katika qiraa katika Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3470992   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/24

TEHRAN (IQNA)-Algeria imetangaza mpango wa kurekebisha mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika shule za nchi hiyo kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.
Habari ID: 3470991   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/23

TEHRAN (IQNA)-Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kwanza ya kigeni ametembelea Saudia kwa madai ya kuunganisha dunia katika vita dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3470990   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/22

KUALA LUMPUR (IQNA)-Mashindano ya 59 ya Kimataifa ya Qur'ani yamemalizika Jumamosi katika sherehe iliyofanyika mjini Kuala Lumpur
Habari ID: 3470989   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21

TEHRAN (IQNA)-Utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain umemuhukumu mwanazuoni wa Kiisalmu Sheikh Issa Qasim kifungo cha mwaka mmoja na kuibuaasira za wananchi ambao wameandamana wakiwa wamevaa sanda, kupinga hukumu hiyo ya kidhulma.
Habari ID: 3470987   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/21