iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Kwa hakika hatujui ni wapi na ni lini mauti yatatufikia, hiyo ni siri ya Mola Muumba, Allah SWT.
Habari ID: 3470953    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/27

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yamemalizika huku Ustadh Haitham Sagar Ahmad wa Kenya akishika nafasi ya nne katika kuhifadhi Qur'ani kikamilfu.
Habari ID: 3470952    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/26

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25

TEHRAN- (IQNA)-Tarehe 27 Rajab Mwaka wa Tembo na akiwa na umri wa miaka 40, Mtume Muhammad (SAW) alikuwa juu ya kilele cha Mlima Hira, akijishughulisha na ibada ndani ya pango la mlima huo, ambapo ghafla malaika Jibril AS alimteremkia huku akiwa amebeba wahyi kutoka kwa Mwenyezi Mungu SW.
Habari ID: 3470950    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24

Mtaalamu wa Qur'ani kutoka Algeria
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Algeria amesema mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu ni ya kipekee na ya aina yake duniani.
Habari ID: 3470949    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24

TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa Masomo ya Qur’ani unafanyika leo Jumatatu nchini Iran katika mji mtakatifu wa Qum, kusini mwa Tehran.
Habari ID: 3470948    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Iran yanapatikana moja kwa moja au live kwa njia ya mtandao wa kijamii wa Instagram na kupitia televisheni ya qurantv.ir/live.
Habari ID: 3470947    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/23

TEHRAN (IQNA)-Qarii mtajika na mtaalamu wa Qur'ani kutoka Misri amesema kila mshiriki katika mashindano ya Qur'ani ni mshindi.
Habari ID: 3470946    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22

TEHRAN (IQNA) –Raia wa Kenya amefika fainali za Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani Tukufu yanayofanyika nchini Iran.
Habari ID: 3470945    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/22

TEHRAN (IQNA)-Misri hivi sasa iko katika hali ya tahadhari ya juu kufuatia hujuma mbili za kigaidi zilizolenga makanisa ya Wakristo wa Kikhufti katika miji ya Tanta na Alexandria na kuua watu 49 siku chache zilizopita.
Habari ID: 3470944    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/21

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yana washiriki kutoka Tanzania, Malawi na Burundi wamewasili Tehran kuwakilisha nchi zao katika mashindano hayo.
Habari ID: 3470942    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/20

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumatano hii katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran.
Habari ID: 3470941    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hakuna shaka yoyote kuhusu uadui wa madola ya kibeberu hususan Marekani dhidi ya taifa la Iran na kwamba uadui huo umekuwa ukioneshwa muda wote kwa sura tofauti.
Habari ID: 3470940    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19

TEHRAN (IQNA)-Polisi nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wamtumia gesi ya kutoa machozi kuhujumu maandamano ya amani ya Waislamu katika mjimkuu Abuja.
Habari ID: 3470939    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/18

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa eneo la Amerika Kaskazni wamekutana katika la 42 la kila mwaka ambapo wamejadili changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo katika nchi za Canada na Marekani hasa katika utawala wa Donald Trump.
Habari ID: 3470938    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17

TEHRAN (IQNA)-Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Bahrain imuachilie huru mara moja mwanazuoni maarufu wa Kiislamu Sheikh Ali Salman.
Habari ID: 3470937    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17

TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya kitaifa na kimataifa ya Qur'ani ni kati ya mafanikio makubwa ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na yanalenga kuleta umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470936    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/16

TEHRAN (IQNA)-Mufti Mkuu wa Misri Shawqi Ibrahim Abdel-Karim Allam amesema Imam Ali AS alitabiri kudhihiri kundi la kigaidi la ISIS zaidi ya miaka 1400 iliyopita.
Habari ID: 3470935    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/15

TEHRAN (IQNA)-Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim AS.
Habari ID: 3470934    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/14

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Misri wanamuenzi afisa wa polisi mwanamke Mwislamu ambaye alipoteza maisha yake akijijaribu kumzuia gaidi wa kundi la ISIS kuingia katika kanisa la Kikhufti (Coptic) mjini Alexandria.
Habari ID: 3470933    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/13