IQNA: Watu wenye chuki dhidi ya Uislamu wameuteketeza moto msikiti katika mji wa Bellevue, jimboni Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470797 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15
IQNA-Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umewanyonga vijana watatu kwa madai ya kuupinga utawala wa kiimla katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3470796 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15
IQNA: Algeria imesambaratisha mtandao wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi hiyo ya Afrika Kaskazini.
Habari ID: 3470795 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/15
IQNA: Mahakama ya Umoja wa Ulaya imetoa hukumu na kusema ni lazima wasichana Waislamu katika shule waogelee pamoja na wavulana.
Habari ID: 3470794 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/14
IQNA: Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
Habari ID: 3470793 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/14
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha kikao cha nchi wanachama kujadili mauaji na mateso wanaofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3470792 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/12
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki dunia Ayatullah Hashemi Rafsanjani.
Habari ID: 3470790 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/09
IQNA- Wafanyakazi wote wa umma Austira, wakiwemo walimu, watapigwa marufuku kuvaa Hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3470786 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/08
IQNA-Mji mtakatifu wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran umezinduliwa rasmi kama Mji Mkuu wa Utamaduni katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470781 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
IQNA-Mabuddha wenye misimamo mikali na maafisa wa serikali ya Myanmar wamebuni mbinu mpya ya kuwabagua na kuwakandamiza Waislamu katika makazi na nyumba zao.
Habari ID: 3470780 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
IQNA-Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesaini sheria itakayoimarisha nafasi ya Kenya kama kitovu cha mfumo wa fedha wa Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3470779 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04
IQNA-Mashindano ya Qur'ani ya Waislamu wa Japan yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tokyo.
Habari ID: 3470778 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/03
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, iwapo ustawi wa sayansi katika taifa na nchi utaenda sambamba na malengo ya juu ya kimaanawi na kimapinduzi, jambo hilo litaandaa mazingira ya Iran kuwa kigezo kwa nchi za eneo hili na ulimwengu mzima wa Kiislamu.
Habari ID: 3470776 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
IQNA-Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameitaka serikali ya nchi hiyo kumuachilia huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470775 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02
IQNA-Chuo Kikuu cha Sarajevo nchini Bosnia Herzegovina kimetangaza kitakuwa kikufungwa adhuhuri wakati wa Sala ya Ijumaa ili Waislamu chuoni hapo wahudhurie sala hiyo ya kila wiki.
Habari ID: 3470770 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeutangaza mji wa Shiraz kusini mwa Iran kuwa mji mkuu wa vijana katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470769 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31
IQNA: Makumi ya maelfu ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wamekimbilia katika nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.
Habari ID: 3470768 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
IQNA: Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwaalika makuhani wa Kizayuni wanaotaka Wapalestina waangamizwe kwa umati.
Habari ID: 3470767 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
Ufalme Saudi Arabia umeiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki katika mazungumzo kuhusu kuwawezesha tena Wairani kutekeleza ibada ya Hija.
Habari ID: 3470766 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30
Waziri wa Ulinzi wa Iran
IQNA: Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema muungano wa Wamagharibi wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya kimaonesho na ya hadaa.
Habari ID: 3470765 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/29