iqna

IQNA

wahindu
Waislamu India
IQNA - Msikiti wa Gyanvapi huko Varanasi, ni eneo la kihistoria iliyojengwa katika karne ya 17, umekuwa kitovu cha hivi punde katika mzozo wa muda mrefu wa kisheria kati ya Wahindu na Waislamu nchini India.
Habari ID: 3478291    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/02

Waislamu India
IQNA-Kama ilivyokuwa ikitarajiwa, baada ya kuzinduliwa hekalu la Ram, ambalo lilijengwa na Wahindu wenye itikadi kali katika sehemu ambayo zamani palikuwa na msikiti wa Babri katika jimbo la Uttar Pradesh, duru mpya ya mashinikizo ya kijamii dhidi ya Waislamu wa India imeanza.
Habari ID: 3478256    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/26

Waislamu India
NEW DELHI (IQNA) - Wahindu wenye msimamo mkali walimpiga na kumuuai Mwislamu mlemavu kwa kula prasad kwenye hekalu.
Habari ID: 3477669    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Hali ya Waislamu India
New Delhi (IQNA) - Misikiti mingi katika kitovu muhimu cha biashara nje kidogo ya mji mkuu wa India, New Delhi ilifungwa kwa sala ya Ijumaa baada ya kifo cha watu sita wakati Wahindu wenye itikadi kali waliposhambulia misikiti na mali za Waislamu.
Habari ID: 3477390    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/06

Chuki dhidi ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Mwanamume mmoja Mwislamu mwenye umri wa miaka 56 aliripotiwa kuuawa na genge la watu wenye chuki siku ya Jumatano kwa tuhuma kwamba alikuwa amebeba nyama ya ng'ombe katika jimbo la Bihar nchini India.
Habari ID: 3476686    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/10

Hali ya Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya mashuhuri ya Kiislamu nchini India imeishutumu serikali ya BJP kwa kuwalinda watu wanaohusika katika kueneza chukji dhidi ya Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3475307    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/28

Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Mfawidhi Haram Takatifu ya Imam Ridha AS mjini Mashhad anasema umoja kati ya Waislamu na Wahindu ulikuwa muhimu katika kuwashinda wakoloni, na kuongeza kuwa hivi kuna njama za kupanda mbegu za ugomvi kati ya vikundi hivi vya India.
Habari ID: 3475284    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/23

Waislamu India
TEHRAN (IQNA) - Magenge ya Wahindu wenye msimamo mkali vinalenga kubomoa misikiti kote nchini India na sasa wanalenga jengo la kihistoria la Waislamu maarufu kama Taj Mahal.
Habari ID: 3475276    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu wa Kiislamu amelaani vikali hujuma za hivi karibuni dhidi ya Waislamu nchini India huku akitoa wito wa kuanzishwa harakati yakimataifa ya kutetea Waislamu ambao wanaishi kama jamii za waliowachache.
Habari ID: 3474495    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/31

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu katika jimbo la Tripura kaskazini mashariki mwa India wameitaka serikali ya nchi hiyo ichukue hatua za kuzuia magenge ya Wahindu wenye misimamko mikali kuwashambulia Waislamu na misikiti.
Habari ID: 3474487    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29

TEHRAN (IQNA)- Wahindu wenya misimamo mikali katika jimbo la Tripura kaskazini mashariki mwa India wamewahujumu Waislamu na kuharibu misikiti minne kwa sababu ya kulipiza kisasi kutokana na kile wanachodai ni kusumbuliwa Wahindu katika nchi jirani ya Bangladesh.
Habari ID: 3474483    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/28

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh.
Habari ID: 3474423    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

Spika wa Bunge la Iran
TEHRAN (IQNA)- Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameeleza kusikitishwa kwake na mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu nchini India na ameitaka serikali ya New Delhi, itumie mbinu na uwezo wote kwa ajili ya kuhitimisha mzozo uliopo kwa njia za amani.
Habari ID: 3472534    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/05