kitaifa - Ukurasa 2

IQNA

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08

Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanamke Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu amesema mtu ambaye amekumbatia uzuri wa Qur'ani Tukufu hawezi kuvumilia kutengwa nayo.
Habari ID: 3479872    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/07

IQNA - Qari wa Iran anayetambulika kimataifa Saeed Parvizi alisoma aya za Qur'ani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3479851    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mji wa kaskazini-magharibi wa Tabriz ni mwenyeji wa hatua ya mwisho ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, yaliyoanza kwa sherehe Jumatatu asubuhi.
Habari ID: 3479849    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

IQNA - Mkuu wa Shirika la Masuala ya Wakfu na Misaada Iran amesema uendelezaji wa maisha kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu ni lengo kuu la mashindano ya Qur'ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3479823    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28

Harakati za Qur'ani
IQNA - Maafisa wa Iran wamezindua mipango miwili mipya yenye lengo la kuhimiza kuhifadhi wa Qur'ani Tukufu miongoni mwa wanafunzi kote nchini.
Habari ID: 3479814    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Duru ya mwisho ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran itaanza katika mji wa kaskazini-magharibi wa Tabriz Jumatatu, Disemba 2.
Habari ID: 3479811    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26

Harakati za Qur'ani
IQNA - Mpango wa Qur'ani unaoungwa mkono na Idara ya Haram ya Imam Ridha (AS) unatazamiwa kuwashirikisha Wairani wapatao milioni 1 kote nchini, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3479788    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani
IQNA - Jumuiya ya Masuala ya Wakfu na Misaada Iran imetangaza waliofuzu katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran.
Habari ID: 3479772    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/18

TEHRAN (IQNA) – Mkuu wa Idara ya Masuala ya Qur’ani katika Shirika la Wakfu la Iran amesema mashindano ya kitaifa ya Qur’ani nchini Iran mwaka huu yatafanyika kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3473207    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/27

Mashindano ya 38 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran yamemalizika Jumamosi usiku katika hafla iliyofanyika mjini Kermanshah mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3469906    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27

Wairani zaidi ya milioni 1.2 wanashiriki katika Mpango wa Kitaifa ya Kuhifadhi Qur'ani tukufu chini ya usimamizi wa Shirika la Awqaf la Iran.
Habari ID: 3468284    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/22

Awamu ya 38 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yameanza Jumamosi hii katika mji wa Kermanshah magharibi mwa nchi.
Habari ID: 3466837    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/19

Vijana wanne wa Kishia nchini Saudi Arabia wamefanikiwa kuchukua nafasi za juu katika awamu ya tatu wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani na Hadithi yaliyofanyika katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3446588    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/10

Baadhi ya nakala za kale zaidi za Qur’ani duniani ambazo ni zama miaka ya awali ya Uislamu zimewekwa katika maonyesho.
Habari ID: 2917897    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/02