kitaifa

IQNA

IQNA – Amirhossein Landarani, kijana mchanga wa Iran anayesoma na kuhifadhi Qur'an, ambaye hivi karibuni alishinda nafasi ya kwanza katika kipengele cha usomaji wa mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur'an nchini Iran, amesema mafanikio hayo ni miongoni mwa matukio yenye maana kubwa maishani mwake.
Habari ID: 3481473    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/05

IQNA – Mkuu wa Taasisi ya Wakfu na Misaada ya Iran ameielezea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ndiyo kinara wa kukuza Qur’ani Tukufu katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3481432    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/28

IQNA – Kamati ya maandalizi ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu nchini Iran imetangaza rasmi majina ya washindi wa tukio hilo mashuhuri la Kiqur’ani.
Habari ID: 3481429    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/28

IQNA – Kwa wastani, zaidi ya watu 5,000 kutoka mkoa wa Kordestan nchini Iran huhudhuria mashindano ya kitaifa ya Qur'an kila siku, kwa mujibu wa afisa mmoja.
Habari ID: 3481425    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/27

IQNA – Hafla ya kufunga awamu ya mwisho ya Mashindano ya 48 ya Kitaifa ya Qur'an ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatarajiwa kufanyika, Oktoba 27, katika mji wa Sanandaj, mkoa wa Kordestan.
Habari ID: 3481420    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/26

IQNA-Sheikh Mamosta Fayeq Rostami, msomi maarufu wa Ahul Sunna na mwakilishi wa watu wa Kurdistan katika Baraza la wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Iran amesisitiza kuwa Qurani Tukufu si tu kitabu cha ibada, bali ni waraka kamili unaoelekeza maisha ya binadamu katika nyanja za uchumi, utamaduni na siasa
Habari ID: 3481387    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/20

IQNA – Toleo la kwanza la mashindano ya kitaifa ya Qur’ani ya Iran ya “Zayin al-Aswat” (mapambo ya sauti) linatarajiwa kufanyika katika mji mtakatifu wa Qom, likijumuisha makundi matatu kuu, waandaaji walitangaza.
Habari ID: 3481298    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/28

Harakati za Qur'ani
IQNA – Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran, hasa sehemu yake ya maarifa, yana jukumu muhimu katika kukuza mafundisho ya Kiislamu miongoni mwa wananchi, amesema mwanazuoni.
Habari ID: 3479988    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/01

Qur'ani Katika Maisha
IQNA – Mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 anasema kuhifadhi Quran Tukufu kumemsaidia kupata mafanikio zaidi shuleni.
Habari ID: 3479941    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/23

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mtaalamu na mwanaharakati wa Qur'ani wa Iran amepongeza maandalizi ya kitaalamu ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya nchi hiyo.
Habari ID: 3479932    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Seyed Jassem Mousavi alishinda zawadi ya juu zaidi ya kategoria ya qiraa katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran huko Tabriz siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3479928    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mkuu wa Shirika la Wakfu na Misaada Iran amesema njia ya kuelewa ukamilifu na wokovu inapitia katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479922    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Baada ya shughuli za miezi kadhaa, Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifikia tamati katika hafla ya Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3479921    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19

Harakati za Qur'ani
IQNA – Qari wa ngazi za juu wa kike wa Qur’ani nchini Iran  amesema mazingira ya kuunga mkono na ya kutia moyo yanayotolewa na wazazi yana jukumu muhimu katika kukuza talanta za Qur’ani kwa watoto.
Habari ID: 3479918    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/18

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani
IQNA – Kuna ushindani mkubwa katika fainali ya Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran na hivyo ni vigumu kutabiri washindi, mshindani mmoja alisema.
Habari ID: 3479909    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mshindi Qiraa ya Qur’ani katika kategoria ya wanawake katika Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema yeye hufanya mazoezi ya qiraa na kusoma tafsir kila usiku pamoja na familia yake.
Habari ID: 3479904    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15

Harakati za Qur'ani
IQNA - Msomaji wa Qur'ani wa kike wa Iran anasema kuelewa na kutekeleza mafundisho ya Qur'ani ndio ufunguo wa kuepuka dhambi.
Habari ID: 3479895    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji  ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Iran yalihitimisha sehemu zake za wanawake na wasichana chini ya umri wa miaka 18 kwa  sherehe huko Tabriz, zilizofanyika kuanzia tarehe 2 hadi 9 Disemba.
Habari ID: 3479883    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09