Muqawama
IQNA-Brigedia Jenerali Ismael Qaani, Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameshiriki katika mazishi ya Shahid Abbas Nilforoushan.
Habari ID: 3479596 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/15
Jinai za Israel
IQNA-Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ametahadharisha kuwa, Israel inapasa kusubiri jibu la Iran kwa kumuua shahidi mmoja wa washauri wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu katika uvamizi wa utawala huo wa Kizayuni katika mji wa Aleppo (Halab) huko kaskazini magharibi mwa Syria.
Habari ID: 3478941 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
IQNA-Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo hapa mjini Tehran amesema shambulio la makombora la Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) dhidi ya kituo kikuu cha ujasusi cha shirika la ujasusi la utawala haramu wa Israel (Mossad) katika eneo la Kurdistan ya Iraq limetoa onyo kali mkabala wa tishio la Wazayuni.
Habari ID: 3478219 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/19
Taazia
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, leo asubuhi ameongoza Sala ya Maiti ya kuusalia mwili wa Kamanda Shahidi Sayyid Razi Mousavi pamoja na kumsomea Faatiha na kumuombea dua Shahidi huyo.
Habari ID: 3478105 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/28
Kamanda Mkuu wa IRGC
TEHRAN (IQNA) - Meja Jenerali Hussein Salami, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa, tadbiri na busara za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu zimefelisha njama na malengo ya kisiasa ya adui katika Ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3473214 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/29