Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA) -Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amesema kulikuwa na mpango hatari nyuma ya wazua ghasia za hivi karibuni nchini Iran ambapo ghasia hizo ziliratibiwa na uistikbari wa dunia miaka miwili iliyopita sambamba na kugawa silaha na kutoa mafunzo.
Habari ID: 3472240 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/11/29
Khatibu wa Swala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA) - Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameashiria mapambano ya Kiislamu (muqawama) na kusimama kidete wananchi wa Syria, Lebanon, Iraq, Bahrain na Yemen mbele ya mabebebu na waistikabari na kusisitiza kuwa, somo la Ashura na harakati ya Imam Hussein AS ni chimbuko la muqawama wa wananchi wa eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3472128 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/13
Ayatullah Khatami katika Sala ya Ijumaa
IQNA: Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, isingekuwepo misaada ya Iran, basi hadi kufikia sasa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh lingekuwa limeziteka kikamilifu Iraq, Syria na Lebanon.
Habari ID: 3470876 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03
IQNA-Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa taifa la Iran halitauamini utawala wowote unaoingia madarakani huko Marekani.
Habari ID: 3470670 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameyataka mataifa ya Kiislamu kushikamana na kusimama kidete mbele ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3470638 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran hatua ya Saudia kuwaua watoto nchini Yemen ni sawa na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel ambao umekuwa ukiwaua watoto Wapalestina huko Ghaza na pia nchini Lebanon.
Habari ID: 3470625 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema a uungaji mkono madola ya Magharibi kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Saudia huko Yemen, ndiyo sababu ya kushadidi mgogoro na kuuliwa raia wasio na hatia.
Habari ID: 3470612 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/14
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwamjini Tehran ameyaasa na kuyataka mataifa ya Kiislamu kuwa macho na njama za maadui dhidi yao.
Habari ID: 3470588 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/01
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Saala ya Ijumaa Tehran amesema Siku ya Kimataifa ya Quds ni hatua kubwa kupambana na uistikbari na adui Mzayuni aambaye ndiye adui mkuu wa Uislamu.
Habari ID: 3470426 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/01
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran ametoa wito kwa mataifa yote ya Waislamu kuwa na umoja mbele ya njama za ustikbari na Uzayuni wa kimataifa dhidi ya Dini Tukufu ya Uislamu.
Habari ID: 3470392 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/17
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa utawala wa Aal Saud haustahiki kusimamia Haram Mbili Tukufu za Makka na Madina.
Habari ID: 3470341 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran ametoa wito kwa Waislamu kukabiliana na magaidi wakufurishaji pamoja na serikali vibaraka ambazo zinapata uungaji mkono wa Marekani na Utawala wa Kizayuni katika eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3470322 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/20