TEHRAN (IQNA)- Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa Waislamu wa Marekani walitoa msaada wa dola bilioni 1.8 mwaka 2021, mwaka huo huo ambao ulishuhudia ongezeko kubwa la visa vya ubaguzi na unyanyasaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3475178 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/28
TEHRAN (IQNA)- Msimu wa sasa wa Hija ndogo ya Umrah kwa Waislamu kutoka nje ya Saudia utamalizika katika siku ya mwisho ya Mwezi wa Shawwal ambayo inatarajiwa kusadifina na Mei 31.
Habari ID: 3475177 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/27
TEHRAN (IQNA)- Kasisi wa Kanisa la Koptik nchini Misri amehudhuria sherehe za kufunga mashindano ya kuhifadhi Qur'ani katika jimbo la Beheira nchini Misri.
Habari ID: 3475162 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Liberia inayoongozwa na Rais George Weah imechukua hatua ya aina yake kuruhusu kuwaruhusu wanafunzi wa kike Waislamu wake kuvaa Hijabu wakiwa chuoni wakati wa kuadhimisha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475161 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/24
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi dhidi ya shule kadhaa katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul sambamba na kutuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha.
Habari ID: 3475146 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/20
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa Umma mzima wa Kiislamu kuanzisha harakati kubwa zaidi dhidi ya kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden.
Habari ID: 3475143 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19
Waziri Mkuu wa Malaysia
TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Malaysia aliwataka Waislamu kuisoma na kuielewa kwa kina Qur'ani Tukufu ili wawe miongoni mwa wachamungu.
Habari ID: 3475142 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Vituo vya Kiislamu Ulaya imelaani kitendo cha kuvunjiwa heshim Qur'ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni.
Habari ID: 3475139 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18
TEHRAN (IQNA)- Waislamu na wapenda haki nchini Sweden wameendeleza maandamano kwa siku ya nne mfululizo kulalamikia mpango wa kuchoma moto nakala za Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3475138 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18
TEHRAN (IQNA)-Wanaume wawili wa Illinois ambao walisaidia kulipua msikiti wa Minnesota mnamo 2017 mnamo Jumanne walipokea vifungo vya jela chini ya kiwango cha miaka 35 ambacho walitakiwa kufungwa.
Habari ID: 3475124 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/13
TEHRAN (IQNA)- Wakaazi wa eneo moja Cape Town, Afrika Kusini, wamepewa zawadi dhifa ya futari kwa mara ya kwanza huku Waislamu duniani kote wakiwa katika mwezi mtakatifu wa Ramadan.
Habari ID: 3475117 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/12
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa mji wa Winnipeg, mji mkuu wa jimbo la Manitoba Canada wamechanga pesa kwa ajili ya kuwasiadia Wayemen wanateseka kutokana na vita.
Habari ID: 3475110 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/10
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameshikamana na Waislamu wote duniani ambapo amewatakia heri na baraka wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475091 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/03
TEHRAN (IQNA) - Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi Wapalestina watatu kwa kuwapiga risasi katika mji wa Jenin, katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475090 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/03
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa shindano la 36 la kitaifa la kuhifadhi Qur'ani nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga Jumamosi.
Habari ID: 3475081 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imethibitisha uteuzi wa mjumbe maalum wa Afrika.
Habari ID: 3475078 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/26
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa London wanasubiri kwa hamu tamasha la chakula na ununuzi linalotarajiwa kabla ya kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu - na takriban watu 20,000 watahudhuria.
Habari ID: 3475073 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24
TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Othman Jerandi amezitaka nchi za Kiislamu kushirikiana na kukomesha ongezeko la jinai za utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3475072 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24
TEHRAN (IQNA)- Siku kadhaa baada ya shule za jimbo la Karanatka la kusini mwa India kuwapiga marufuku wanafunzi wanawake Waislamu kuvaa vazi la staha la Kiislamu la Hijabu, mahakama ya nchi hiyo imeidhinisha rasmi uamuzi huo wa kibaguzi.
Habari ID: 3475046 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15
TEHRAN (IQNA) – Baada ya masaa mengi ya kuchangisha fedha, kupanga na kujenga, milango ya msikiti mpya kabisa huko Melbourne, Australia, hatimaye imefunguliwa.
Habari ID: 3475043 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/14