Waislamu Uingereza
TEHRAN (IQNA)- Paundi milioni 24.5 zimetengwa kwa ajili ya usalama katika maeneo ya ibada na shule nchini Uingereza.
Habari ID: 3475273 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/21
Waislamu India
TEHRAN (IQNA)- Mahakama Kilele ya India imebatilisha uamuzi wa mahakama ya chini ambayo ilikuwa imeamuru marufuku ya sala za jamaa katika msikiti wa Karne ya 17 kaskazini mwa India kwa madai kuwa kulikuwa na mabavu ya mmoja ya miungu ya Kihindu, Shiva, na nembo zingine za Kihindu hapo.
Habari ID: 3475267 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
TEHRAN (IQNA)- Shule moja nchini Uingereza imewalisha wanafunzi Waislamu nyama ya nguruwe jambo ambalo limeibua hasira kali miongoni mwa wazazi.
Habari ID: 3475266 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
Hija
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema inafanya mazungumzo na Saudi Arabia kuhusu kuruhusiwa kutekeleza ibada ya Hija Wairani waliopata chanjo iliyotegenezwa ndani ya Iran.
Habari ID: 3475265 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19
TEHRAN (IQNA)- Orodha ya maeneo yenye huudma na bidhaa Halal katika mji wa New York, Marekani imechapishwa kwa lengo la kuwasaidia wenyeji na watalii Waislamu katika jiji hilo ambalo ni makao makuu ya Umoja wa Mataifa.
Habari ID: 3475256 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/16
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Imam Ali AS cha Vienna, Austria kimeanzisha mpango wa kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3475253 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15
TEHRAN (IQNA)-Ingawa idadi ya Waislamu wa Japani inaendelea kuongezeka, kuna makaburi machache sana katika nchi hii, ambapo kuchoma maiti ni jambo la kawaida.
Habari ID: 3475239 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa amebainisha masikitiko yake juu ya mapigano makali ya hivi karibuni kati ya Waislamu na Wakristo wa Orthodox nchini Ethiopia, ambapo takriban watu 30 waliripotiwa kuuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3475226 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09
QOM (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kenya nchini Iran Mh. Joshua Gatimu ametembelea Haram Takatifu ya Bibi Maasuma - Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-katika mji wa Qum.
Habari ID: 3475222 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08
TEHRAN (IQNA)-Utumizi wa neno 'Insallah' (Mungu Akipenda) umeenea sana miongoni mwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475221 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Russia wametangaza uungaji mkono jitihada za ukombozi wa taifa linalodhulumiwa la Palestina ambalo linakoloniwa na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3475220 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)- Msitiki umehujumiwa katika mji wa Metz, kaskazini mashariki mwa Ufaransa siku moja kabla ya Emmanuel Macron kuapishwa kuendelea kuwa rais wa Ufaransa.
Habari ID: 3475217 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
Uchambuzi
TEHRAN (IQNA)- Nchi za Kiislamu zimesherehekea Idul Fitr baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani wakati ambao katika baadhi ya nchi za Kiislamu amani na usalama inaonekana kuwa kiungo muhimu zaidi kinachokosekana katika maisha ya watu wa nchi hizo.
Habari ID: 3475210 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Polisi katika mji wa Mumbai nchini India imetoa idhini kwa misikitini 803 kutumia vipaza sauti kwa ajili ya adhana.
Habari ID: 3475208 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05
TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya mabarobaro imemalizija Jumatatu wiki hii nchini Zambia.
Habari ID: 3475207 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05
TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu na Wakristo wa Kiothodoxi yamehujumiwa katika mji wa Malmo nchini Sweden katika kile kinachoonikana na kuongezeka chuki zinazochochewa na makundi ya wazungu wenye misimamo mikali ya kibaguzi.
Habari ID: 3475205 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/04
TEHRAN (IQNA) Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamua ametuma salamu za mkono wa Idi kwa Waislamu na viongozi wa nchi za Kiislamu duniani kote
Habari ID: 3475201 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/03
TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Jumuiya ya Kiislamu ya Raleigh katika jimbo la North Carolina nchini Marekani, ambacho ni msikiti na mahali pa kukutania jamii ya Waislamu, kimejitokeza ili kuhakikisha kila mtu aliyefunga anakuwa na Ramadhani yenye furaha.
Habari ID: 3475190 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30
TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameupongeza mhimili wa muqawama au mapambano ya Kiislamu kwa kuuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza uharibifu zaidi katika eneo kama walivyofanya magaidi wakufurishaji.
Habari ID: 3475183 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/29
TEHRAN (IQNA)- Genge moja la magaidi wa Kikristo lililokuwa limejizatiti kwa silaha nzito limewavamia na kuwaua Waislamu zaidi ya 20 katika mji wa Gondar wa kaskazini mwa Ethioia wakati Waislamu wao walipokuwa kwenye maziko ya mzee mmoja wa Kiislamu.
Habari ID: 3475181 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/28