iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Taasisi mbalimbali za kutetea haki za binadamu zimetoa radiamali kufuatia hatua ya utawala wa Saudi Arabia kumtia mbaroni mwana wa kiume wa Sheikh Nimr Baqir al Nimr.
Habari ID: 3473479    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/22

TEHRAN (IQNA) -Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, sera za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) za kuunga utawala wa Kizayuni wa Israel ni kwa madhara ya haki za Wapalestina.
Habari ID: 3473477    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21

TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi 80 wa Qur'ani Tukufu ambao walikuwa wametekwa kaskazini mashariki mwa Nigeria wamenusuriwa.
Habari ID: 3473476    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21

TEHRAN (IQNA) Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekanusha kuwepo mashinikizo ya aina yoyote ya kuitaka nchi hiyo ijiunge na safu ya nchi zinazofanya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473474    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/20

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wapalestina leo wamshiriki katika Swala ya Ijumaa katika kibla cha kwanza cha Waislamu, yaani Msikiti wa Al Aqsa ulioko mjini Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473467    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18

TEHRAN (IQNA) – Msikiti mmoja umehujumiwa katika mji wa Amsterdam nchini Uholanzi. Kwa mujibu wa taarifa gaidi aliyekuwa amevaa barakoa aliurushia mawe Msikiti wa Hagia Sophia mjini Amsterdam.
Habari ID: 3473466    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wamedai kuhusika na utekaji nyara wa zaidi ya wanafunzi zaidi ya 300 katika shule moja ya upili Ijumaa iliyopita jimbo la Katsina kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3473462    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16

TEHRAN (IQNA) – Shirika moja la kutoa misaada nchini Uturuki limewatunuku watu wa Djibouti nakala za Qur'ani tukufu zipatazo 30,000.
Habari ID: 3473456    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Kiislamu Singapore (Muis) limetoa wito kwa Waislamu nchini humo kukubali chanjo ya COVID-19 wakati itakapopatikana na itakapopati idhini ya idara husika za afya kuwa ni salama kutumia.
Habari ID: 3473455    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/14

TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Mauritania imeendeleza kampeni maalumu ya qiraa ya Qur’ani katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473452    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekosoa hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473450    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12

TEHRAN (IQNA) -Utawala wa Ufaransa, wenye chuki shadidi dhidi ya Uislamu, umepasisha sheria mpya ya kuzidi kuwabana na kuwakandamiza Waislamu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3473446    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/11

TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitano nchini Singapore itaruhusiwa kuwa na waumini 250 kila moja kwa ajili ya swala ya Ijumaa kuanzia wiki hii.
Habari ID: 3473437    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08

TEHRAN (IQNA) – Pakistan imetoa wito kwa serikali ya India ilinde haki za jamii za waliowachache hasa Waislamu na ihakikishe kuwa wanapata usalama na uhuru wa kuabudu.
Habari ID: 3473432    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/07

Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislamu wa Madhehebu ya Shia Lebanon Ayatullah Abdul-Amir Qabalan amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina Waislamu na Wakristo na kuongeza kuwa, kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu.
Habari ID: 3473429    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA) – Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern ameahidi uwajibikaji wa serikali yake kuhusu ripoti ya hujuma dhidi msikiti mjini Christchurch.
Habari ID: 3473428    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA) -Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR), limetangaza kuwa litatenga s ofisi katika makao makuu yake kwa ajili ya kutumiwa na Taasisi ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu au Islamophobia Ufaransa (CCIF) ambayo imefungwa na serikali ya nchi hiyo.
Habari ID: 3473423    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/05

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ufaransa imetangaza mpango mkubwa na ambao haujawahi kushuhudiwa wa kufanya upekuzi katika misikiti ya nchini humo.
Habari ID: 3473419    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03

TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel unaouwa watoto.
Habari ID: 3473415    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02

TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu na Israel, kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
Habari ID: 3473409    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30