waislamu - Ukurasa 35

IQNA

TEHRAN (IQNA) Mufti Mkuu wa Uganda anayefungamana na mrengo wa 'Kibuli Hill' mjini Kampala, Sheikh Silman Kasule Ndirangwa alitangaza kujiuzuli wadhifa huo Alhamisi iliyopita.
Habari ID: 3473787    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/06

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Uingereza imetakiwa itambue rasmi uwepo wa tatizo la chuki dhidi ya Uislamu yaani Islamophobia ili ikabiliane na tatizo hilo.
Habari ID: 3473786    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05

TEHRAN (IQNA) – Watu wa Bahrain wameandamana katika mji mkuu, Manama, Ijumaa jioni wakitaka wafungwa wa kisiasa waachiliwe huru.
Habari ID: 3473779    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/03

TEHRAN (IQNA)- Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko China jana Jumanne aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa ametembelea mkoa wenye Waislamu wengi nchini humo ambao wakaazi wake wengi Waislamu wa jamii wa Uighur.
Habari ID: 3473773    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/31

TEHRAN (IQNA)- Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Msumbiji Omar Saranga amewaambia waandishi habari huko Maputo kwamba, jeshi linapambana vikali na waasi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Palma ulioko karibu na mpaka wa nchi hiyo na nchi jirani ya Tanzania.
Habari ID: 3473769    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/29

TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu imelaani wito wa serikali ya Ufaransa iliyowataka maimamu wa misikiti nchini humo kubariki na kuhalalisha ndoa baina ya mashoga na watu wenye jinsia moja, ikisisitiza kuwa wito huo unaonyesha msimamo wa kindumakuwili dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473765    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/28

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Ufaransa wamelalamikia hatua ya wakuu wan chi hiyo kupiga marufuku uchinjaji wa kuku kwa misingi ya Kiislamu huku mwezi Mtukufu wa Ramadhani ukikaribia.
Habari ID: 3473749    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/20

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu (Islamophobia) na kusema ubaguzi wa rangi kwa bahati mbaya sana upon a unaendelea katika nchi zote na katika jamii zote duniani na mizizi yake imekita kutokana na karne na karne za ukoloni na utumwa.
Habari ID: 3473747    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

TEHRAN (IQNA)- Bi. Samia Suluhu Hassan mapema leo asubuhi, saa nne asubuhi kwa majira ya Afrika Mashariki ameapishwa kuwa rais wa 6 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Habari ID: 3473746    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

TEHRAN (IQNA)- Shirika la kimataifa la usafirishaji mizigo la Nippon Express la Japan limeanzisha huduma mpya ya usafirishaji mizigio ambayo inazingatia mafundisho ya Uislamu na hivyo imepewa anuani ya 'Halal'.
Habari ID: 3473744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa kiimla wa Saudi Arabia unapanga kuwatimua wenyeji mji wa Qatif, ambao wakaazi wake wengi ni Waislamu wa madhehebu ya Shia.
Habari ID: 3473742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA)- Shule moja ya Waislamu kati mwa Sweden imeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3473737    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/15

TEHRAN (IQNA)- Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa kushtadi chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Sri Lanka, serikali ya nchi hiyo imetangaza kuwa karibuni hivi itapiga marufuku uvaaji wa vazi la staha la burqa (niqabu) ambalo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
Habari ID: 3473732    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/14

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Kiislamu cha Imam Baqir AS nchini Ghana kimetoa misaada ya Hospitali ya Watu Wenye Matatizo ya Kiakili ya Accra.
Habari ID: 3473720    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09

TEHRAN (IQNA) – Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limelaani kura ya maoni ambayo imeidhinisha marufuku ya vazi la nikabu linalotumiwa na wanawake Waislamu.
Habari ID: 3473717    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/08

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Kiislamu nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amekutana na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ambapo katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3473707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/06

TEHRAN (IQNA) – Kamati andalizi ya Mashindano ya 37 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imetangaza majina ya jopi la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3473698    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa kanisa wameshiriki katika ufunguzi wa msikiti katika mji wa El Mahalla nchini Misrikatika jimbo la Gharbia nchini Misri.
Habari ID: 3473689    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28

TEHRAN (IQNA)- Kufuatia mashinikizo, serikali ya Sri Lanka imebatilisha uamuzi wake wa kuteketeza moto miili ya Waislamu waliopoteza maisha kutokana na Corona au COVID-19.
Habari ID: 3473685    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/26

TEHRAN (IQNA)- Taasisi za Kiislamu nchini Marekani zimelaani vikali hujuma dhidi ya msikiti unaojengwa mjini Strasbourg.
Habari ID: 3473682    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/25