waislamu - Ukurasa 32

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Wahindi wenye misimamo mikali katika jimbo la Assam nchini India wameshadidisha hujuma dhidi ya Waislamu eneo hilo.
Habari ID: 3474389   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/06

TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Waislamu Fiji limetangaza kuwa misikiti itafunguliwa tena nchini humo kuanzia Oktoba nne lakini watakaoruhusiwa ni wale tu waliopata chanjo kamili ya COVID-19 au corona.
Habari ID: 3474371   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Mmoja wa viongozi wa jamii ya Waislamu wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh kutoka Myanmar ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3474370   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/02

TEHRAN (IQNA)- Idadi ya Waislamu watakaruhusiwa kutekelelza Hija ndogo au Umrah na kuswali katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) imeongezeka hadi laki moja kwa siku kuanzia Oktoba Mosi.
Habari ID: 3474369   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/01

TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Oman Sheikh Ahmed bin Hamad Al-Khalili ametoa wito kwa Ummah wa Kiislamu duniani kuungana na kuwatetea Waislamu wa India.
Habari ID: 3474358   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Kimataifa la ‘Arubaini, Umaanawi na Fadhila za Kiakhlaqi’ limefanyika katika mji wa Karbala.
Habari ID: 3474354   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28

TEHRAN (IQNA)- Mkutano mkuu wa chama cha Leba nchini Uingereza umepigia kura na kupitisha hoja ya kuitambua Israel kuwa ni utawala unaotenda jinai ya ubaguzi wa Apathaidi, na kukifanya kuwa chama cha kwanza kikubwa cha siasa barani Ulaya kuchukua msimamo huo dhidi ya utawala haramu wa Kizayuni.
Habari ID: 3474349   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/27

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia hujuma za kipropaganda zinazofanywa na maadui dhidi ya taifa la Iran kwa ajili ya kushawishi fikra za watu kwa kutumia mbinu na nyenzo mbalimbali na kusema harakati za kutoa ufafanuzi na kueleza haki zinazima hujuma hizo za kipropaganda.
Habari ID: 3474348   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/27

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa jamii ya Wauyghur Waturuki wanaoishi katika mji wa Toronto, Canada wamenunua jengo la kale ambalo lilikuwa Kanisa na kuligeuza kuwa Msikiti.
Habari ID: 3474344   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/26

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Madaktari wa Kiislamu Pakistan (PIMA) inapanga kuandaa warsha za kuokoa maisha kwa wananchi katika misikiti kote Pakistan.
Habari ID: 3474339   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25

TEHRAN (IQNA)- Eneo la kiviwanda la Turin, ambao ni kati ya miji mikubwa Italia, hivi karibuni litakua na fahari ya kupata kituo kikubwa cha utamaduni wa Kiislamu ambacho kitajumuisha pia msikiti.
Habari ID: 3474332   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/23

TEHRAN (IQNA)- Mwanamke mmoja Muislamu katika jimbo la Michigan nchini Marekani amelalamika kuwa polisi walimvua Hijabu baada ya kumkamata. Alivuliwa Hijabu katika kituo cha polisi wakati wa kupigwa picha.
Habari ID: 3474319   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20

TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Misri imetangaza marufuku ya kuandika aya za Qur'ani Tukufu kwa alfabeti za kilatini.
Habari ID: 3474316   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20

TEHRAN (IQNA)- Australia ina mpango wa kuwa kitovu cha kieneo cha mfumo wa kifedha wa Kiislamu kutokana na kuwa ina uthabiti wa kisiasa, mfumo wa kifedha uliostawi na uchumi mkubwa wa ndani ya nchi.
Habari ID: 3474313   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/19

TEHRAN (IQNA) – ‘Wiki ya Halal’ imeandaliwa kwa mara ya kwanza huko Taiwan kwa lengo la kuarifisha bidhaa na huduma ambazo zimetayarishwa kwa kuzingatia mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3474310   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Waislamu wamesali Sala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti mpya ambayo umejengwa katika mtaa wa Nishi Kasai eneo la Edogawa mjini Tokyo Japan.
Habari ID: 3474309   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/18

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tano ya Kozi Maalumu ya Kanuni za Tilawa ya Qur’ani Tukufu inafanyika nchini Mali kwa himaya ya Kituo cha Darul Qur’an cha Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474306   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Nchi za Kiislamu (ISBO) na Sheikh Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar wametangaza azma ya kuandaa kikao cha Idhaa za Qur’ani za nchi za Kiislamu mwezi Februari mwaka 2022.
Habari ID: 3474294   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/14

TEHRAN (IQNA)- Wizi katika msikiti huko Calgary nchini Canada umepelekea waumini waingiwe na hofu na wasiwasi mkubwa.
Habari ID: 3474290   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/13

TEHRAN (IQNA) - Polisi wanachunguza shambulio la kuchoma moto msikiti huko Greater Manchester, Uingereza.
Habari ID: 3474286   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12