IQNA – Mmarekani mwenye asili ya Kiarabu amefungua kesi ya ubaguzi dhidi ya Shirika la Big Jay’s Auto Sales huko Shelby Township, Michigan, Marekani akidai kwamba mfanyakazi wa shirika hilo alitoa matamshi ya udhalilishaji kuhusu imani yake ya Uislamu wakati wa mazungumzo ya uuzaji wa gari.
Habari ID: 3480592 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/25
IQNA – Wanafunzi watatu Waislamu wa chuo kikuu huko Georgia nchini Marekani wametozwa faini ya kifedha baada ya kudhalilishwa walipokuwa wakiswali katika eneo la maegesho ya umma.
Habari ID: 3480548 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/16
IQNA-Msikiti wa UKIM Sparkbrook Islamic Centre huko Birmingham, Uingereza, umesifiwa kwa kushirikiana na Halmashauri ya Jiji la Birmingham kukusanya tani 120 za taka.
Habari ID: 3480530 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/12
IQNA – Waislamu nchini Singapore (Singapuri) wamejitolea kuchangia nyama kwa watu wa Gaza wakati wa sikukuu ya Idul Adha, kutokana na janga la kibinadamu katika Ukanda huo uliozingirwa na utawala dhalimu wa Israel.
Habari ID: 3480526 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
IQNA- Sheria mpya imetangaza Idul Adha na Idul Fitr kuwa sikukuu rasmi katika jimbo la Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3480522 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/11
Waislamu Australia
IQNA – Msikiti mmoja mkubwa nchini Australia umeomba rasmi ruhusa ya kuanza kutumia vipaza sauti kuadhini katika kitongoji cha Lakemba, jiji la Sydney.
Habari ID: 3480505 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07
IQNA – Licha ya ulemavu wa machi, Muhammad Hafizuddin Muhammad Amirul Hakim Linges mwenye umri wa miaka 10 ana uwezo wa kipekee.
Habari ID: 3480482 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
IQNA – Jumuiya ya Kiislamu ya Altrincham & Hale imetangaza mipango ya kuhamia kutoka eneo lake la sasa kwenye Grove Lane kwenda kwenye Kituo cha Kiislamu na msikiti kilichojengwa mahsusi kwenye Thorley Lane huko Timperley.
Habari ID: 3480481 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/01
IQNA-Mamia ya Waislamu wanahofiwa kuwa miongoni mwa watu zaidi ya 1,600 waliopoteza maisha katika tetemeko kubwa la ardhi lililotokea katikati ya Myanmar, wakati walipokuwa wakiswali misikitini katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480470 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA-Baraza la Kiislamu la Ufaransa (CFCM) limelaani kampeni inayoenea inayolenga wanawake wa Kiislamu wanaovaa hijabu, likiitaja kama yenye madhara na inayodhoofisha mshikamano wa kitaifa.
Habari ID: 3480455 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28
IQNA: Nchini Tanzania, kusadifiana kwa Ramadhani na Kwaresima kwa wakati mmoja kumewaleta Waislamu na Wakristo pamoja, wakishiriki kufunga na kutafakari.
Habari ID: 3480364 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13
IQNA – Kila nchi ya Kiislamu ina desturi na mila zake linapokuja suala la mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480342 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10
IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
Habari ID: 3480297 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03
IQNA – Wazazi na walimu nchini Marekani wametakiwa kuhudhuria webinari (warsha za mtandaoni) mbili zijazo zinazolenga kuunga mkono wanafunzi Waislamu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480210 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/13
IQNA – Kufuatia moto mbaya huko Los Angeles, California nchini Marekani ambao umeuteketeza Msikiti wa At-Taqwa, jamii ya Waislamu imekusanya zaidi ya dola 745,000 kwa ajili ya kujenga upya msikiti huo.
Habari ID: 3480067 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/17
Waislamu Marekani
IQNA – Mji wa Michiganu Januari kuwa "Mwezi wa Urithi wa Waislamu wa Marekani," ili kutambua michango muhimu ya Waislamu wa Marekani katika utamaduni, uchumi, na jamii katika jimbo hilo.
Habari ID: 3480036 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/11
Uislamu Ujerumani
IQNA - Kamishna wa Shirikisho la Kupambana na Ubaguzi nchini Ujerumani, Reem Alabali-Radovan, ameelezea wasiwasi wake siku ya Jumatatu kuhusu kuongezeka kwa chuki na mashambulizi dhidi ya Uislamu kufuatia tukio la hujuma kwa kutumia gari katika soko la Krismasi huko Magdeburg wiki iliyopita na kusababisha vifo vya watu 5 na kujeruhi wengine 200.
Habari ID: 3479948 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Waislamu wa Marekani
IQNA – Kituo cha Kiislamu cha Naperville (ICN) nchini Marekani kimekamilisha awamu ya awali ya mradi wake mpya wa msikiti wa futi za mraba 28,400 kwenye barabara ya 248th Avenue.
Habari ID: 3479929 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Haki za Waislamu
IQNA – Shule ya Oshwal Academy nchini Kenya meamriwa na Mahakama Kuu kuwaruhusu wanafunzi wa Kiislamu kuswali Swala ya Adhuhuri ndani ya shule hiyo.
Habari ID: 3479889 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
Uislamu Duniani
IQNA – Mji wa Sao Paulo nchini Brazil ni mwenyeji wa Mkutano wa 37 wa Kimataifa wa Waislamu wa Amerika Kusini na Karibiani.
Habari ID: 3479841 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02