iqna

IQNA

IQNA – Zaidi ya nakala 6,000 za Qur’ani Tukufu zimegawiwa kwa wageni katika Maonyesho ya 39 ya Vitabu ya Kimataifa ya Tunisia.
Habari ID: 3480631    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA – Watu wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu Tunis na miji mingine siku ya Ijumaa, wakitaka kuwekwa sheria ya kuzuia uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni. 
Habari ID: 3480531    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/12

Jamii ya Kiislamu
IQNA – Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kidini ya Tunisia imetangaza kuwa idadi ya misikiti nchini humo sasa imevuka 5,000, ikithibitisha nafasi ya kipekee ya nchi hiyo katika historia ya Uislamu.
Habari ID: 3480507    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/07

IQNA – Maktaba ya Kitaifa ya Tunisia imezindua maonyesho yanayochunguza ushawishi wa Qur'ani Tukufu huko Ulaya. 
Habari ID: 3480228    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/16

Wanamichezo Waislamu
IQNA - Picha za mchezaji wa soka wa Tunisia akisoma Qur'ani ndani ya ndege zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3479636    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Maulidi
IQNA - Maelfu ya watu wa mji wa Kairouan nchini Tunisia walikusanyika Jumamosi jioni kwenye Msikiti wa kihistoria wa Uqba ibn Nafi kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), sherehe ambazo ni maarufu kama Milad un Nabii au Maulidi.
Habari ID: 3479446    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/17

IQNA - Waziri wa zamani wa utamaduni wa Tunisia alibainisha kuwa Tafsiri ya Qur’ani ya Sheikh Muhammad al-Ṭahir ibn Ashur (1879-1973) ilikuwa ni tafsiri ya kwanza ya Qur’ani nzima katika eneo la Kiarabu la Maghreb.
Habari ID: 3478164    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/07

TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni wa Tunisia aliyehudhuria Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu alitoa wito wa kuanzishwa chombo cha habari cha pamoja cha ulimwengu wa Kiislamu ili kukabiliana na vita laini vya Magharibi.
Habari ID: 3477689    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/05

Kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA)- Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya kulaani kikao cha Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na Waziri wa Mambo ya Nje wa utawala haramu wa Israel, Waziri Mkuu wa Libya amesema: Tripoli inaunga mkono suala la ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3477534    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/01

Watetezi wa Palestina
TUNIS (IQNA) - Rais wa Tunisia amesistiza kuwa nchi yake kati haitaanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel , akisema neno hilo halipo hata katika kamusi ya Tunisia.
Habari ID: 3477527    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Siasa
Kampeni imeanzishwa na wasomi wa Kiislamu wanaotaka kuachiliwa kwa wafungwa wa kisiasa nchini Tunisia. Miongoni mwa wafungwa wa kisiasa ni kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Ennahda, Rashid Ghannouchi.
Habari ID: 3477123    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/09

Shirika la Kitaifa la Kudhibiti Nishati nchini Tunisia lilitangaza kutekelezwa kwa mpango wa kupunguza matumizi ya nishati katika misikiti nchini humu.
Habari ID: 3477105    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/05

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Tafsiri za Qur'ani Tukufu katika lugha tofauti ni kati ya vitabu vilivyowasilishwa katika Maonyesho ya 37 ya Kimataifa ya Vitabu Tunisia
Habari ID: 3476933    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/29

Hali ya Tunisia
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Ennahda ya Tunisia ilizitaja hukumu zilizotolewa dhidi ya mkuu wa kambi ya Muungano wa ‘Heshima’, Seifeddine Makhlouf, wakili Mahdi Zaqrouba na wabunge kadhaa wa muungano huo kuwa "zisizo za haki na mfano hatari".
Habari ID: 3476464    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/25

Mgogoro
TEHRAN (IQNA)- Morocco imemuita nyumbani balozi wake wa Tunisia kulalamikia kitendo cha Rais wa Kais Saied wa Tunisia kumpokea kiongozi wa harakati ya Polisario inayopigania kujitenga eneo la Sahara Magharibi.
Habari ID: 3475698    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29

Kususia Israel
TEHRAN-(IQNA) - Wizara ya Biashara na Mauzo ya Nje ya Tunisia imekanusha ripoti zilizochapishwa kuhusu kuwepo kwa mabadilishano ya kibiashara kati ya nchi hii na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3475681    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/25

Hali nchini Tunisia
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475425    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25

Hali nchini Tunisia
TEHRAN (IQNA) - Waandamanaji wa Tunisia waliingia mitaani katika mji mkuu Tunis siku ya Jumamosi kupinga kura ya maoni kuhusu katiba mpya iliyoitishwa na Rais Kais Saied.
Habari ID: 3475394    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia Othman Jerandi amezitaka nchi za Kiislamu kushirikiana na kukomesha ongezeko la jinai za utawala ghasibu wa Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3475072    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/24

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Tunisia, Kais Saied, amerufusha muda wa hali ya hatari nchini humo hadi mwishoni mwa huu wa 2022, licha ya maandamano yanayoendelea kufanyika kote nchini humo.
Habari ID: 3474947    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19