mfalme fahd

IQNA

IQNA – Tarjuma na tafsiri za Qur’ani Tukufu katika lugha 44 zimewekwa mtandaoni na zinapatikana bure bila malipo.
Habari ID: 3482528   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/24

IQNA – Kundi la waumini wanaotekeleza Hija ndogo ya Umrah lilitembelea siku ya Jumamosi Kituo cha Mfalme Fahd cha Uchapishaji wa Qur’ani Tukufu mjini Madina.
Habari ID: 3482477   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/13

IQNA – Zaidi ya watu 97,000 kutoka mataifa mbalimbali walitembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd kilichopo Madina, Saudi Arabia mwezi Agosti 2025.
Habari ID: 3481178   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/03

Qur'ani Tukufu
IQNA - Zaidi ya nakala milioni 300 za Qur'ani Tukufu zimechapishwa katika Kituo cha Uchapishaji Qur'ani cha Mfalme Fahd mjini Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3479653   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/27

Harakati za Qur'ani
IQNA - Alireza Enayati, Balozi wa Iran nchini Saudi Arabia, ametembelea Kituo cha Uchapishaji Qu’ani cha Mfalme Fahd mjini Madina.
Habari ID: 3479635   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23

Maoneyesho ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qur’ani Tukufu katika lugha 76 ni miongoni mwa vitabu vilivyoonyeshwa katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu yanayoendelea huko Riyadh, Saudi Arabia.
Habari ID: 3475915   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/11

Haraakti za Qur'ani
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho yanayohusiana na sekta ya uchapishaji Qur’ani Tukufu yamefanyika katika mji wa Asir nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3475614   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/12