Watetezi wa Qur'ani Tukufu
IQNA - Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri kimepongeza hatua ya Denmark ya kupiga marufuku vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini humo na kutarajia nchi nyingine za Ulaya zitafanya hivyo.
Habari ID: 3478021 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Elimu ya Qur'ani Tukufu
IQNA - Libya imeandaa kongamano la kimataifa la siku tatu kuhusu sayansi ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478020 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Waislamu Nigeria
IQNA - Mhubiri mkuu wa Kiislamu katika Jimbo la Oyo, kusini magharibi mwa Nigeria, alisisitiza haja ya serikali kuunga mkono masomo ya Qur'ani Tukufu na Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3478019 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11
Diplomasia ya Qur'ani
IQNA - Baadhi ya wasomaji Qur'ani Tukufu kutoka nchi za kigeni wamealikwa kushiriki katika programu za usomaji (qiraa) wa Qur'ani Tukufu nchini Iran wakati wa sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3478013 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Turathi ya Kiislamu
KARBALA (IQNA) – Kopi ya nakala ya kodexi ya Msahahafu wa karne 14 zilizopita wa Mashhad, (Mus'haf Mashhad Razawi) imekabidhiwa Idara ya Mfawidhi wa Haram Tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3478012 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/09
Uislamu Ulaya
Bunge la Denmark limepitisha mswada wa sheria inayoharamisha vitendo vya kuvunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3478003 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/08
Shughuli za Qur'ani Tukufu
CAIRO, (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri inapanga kuzindua programu za mfunzo ya Qur'ani Tukufu kwa watoto katika misikiti.
Habari ID: 3478002 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07
Mashindano ya Qur'ani
DUBAI (IQNA) - Waandalizi wa toleo la 24 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sheikha Hind Bint Maktoum katika Umoja wa Falme za Kiarabu walitangaza Desemba 13 kama tarehe ya mwisho ya usajili.
Habari ID: 3477996 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06
Wamisri wakaribisha mpango wa Qur'ani wa Wizara ya Wakfu
TEHRAN (IQNA) - Mpango uliozinduliwa katika misikiti ya Misri kwa ajili ya kurekebisha makosa yanayofanywa na watu wakati wa kusoma Qur'ani Tukufu umepokelewa vyema, maafisa wanasema.
Habari ID: 3477994 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/06
Zifahamu Dhambi/ 4
TEHRAN (IQNA) – Katika lugha ya Qur'ani Tukufu na Mtukufu Mtume Muhammad (SAW), kuna maneno mbalimbali yanayotumika kutaja madhambi.
Habari ID: 3477991 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05
Njia ya Ustawi / 3
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu imetambulishwa kama kitabu cha mwongozo, nuru, uponyaji, rehema, ukumbusho, na utambuzi na ambacho kinatoa mpango sahihi wa maisha.
Habari ID: 3477990 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/05
Mashindano ya Qur'ani
MUSCAT (IQNA) - Washindi wa toleo la 31 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman walitambulishwa na kamati ya maandalizi.
Habari ID: 3477983 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/04
Wasomi Waislamu
TEHRAN (IQNA) – Jumamosi iliadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Ibn al-Jazari, qari mashuhuri katika karne ya 14 na 15 Miladia ambaye pia alikuwa mwanachuoni mashuhuri wa sayansi ya Qur’ani.
Habari ID: 3477979 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/03
Fatwa
CAIRO (IQNA) – Taasisi ya Dar ul Ifta ya Misri imetangaza kuwa hairuhusiwi au haijuzu kidini kuupa msikiti wowote jina la Al-Aqsa.
Habari ID: 3477955 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/28
Zaka katika Uislamu /7
TEHRAN (IQNA) – Kuna mamia ya Hadithi kuhusu kile kinachosaidia katika kuendeleza urafiki.
Habari ID: 3477950 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/26
AL-QUDS (IQNA) - Utawala wa Kizayuni wa Israel umeweka kwa walimu wa kike wa Qur'ani Tukufu katika Msikiti wa Al-Aqsa huko Al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3477935 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/23
Njia ya Ustawi / 5
TEHRAN (IQNA) - Njia moja ya Tarbiyah, yaani kurekebisha au kuboresha tabia ya mtu ambayo imesisitizwa ndani ya Qur'ani Tukufu, ni kumfundisha mtu kivitendo na kiroho kwa namna ambayo mizizi ya maovu ya kimaadili iondolewe katika tabia yake.
Habari ID: 3477924 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 34
TEHRAN (IQNA) – Francois Deroche, mwanachuoni wa Kifaransa ambaye ni mtaalamu wa Codicology na Palaeography, amejadili sifa za Misahafu ya kwanza katika mojawapo ya vitabu vyake.
Habari ID: 3477923 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/21
Turathi ya Kiislamu
MASHHAD (IQNA) – Kumefanyika sherehe katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) mjini Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran kwa lengo la kuzindua Msahafu ambao uliandikwa karne 14 zilizopita.
Habari ID: 3477906 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/18