Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Washindi wa toleo la 9 la mashindano ya Qur'ani kwa Waislamu barani Ulaya walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga iliyofanyika Ujerumani.
Habari ID: 3476711 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Toleo la tano la semina kuhusu miujiza ya kimatibabu ya Qur'ani Tukufu ilianza katika Mji wa Gaza.
Habari ID: 3476710 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15
Qur'ani Tukufu Inasemaje/ 47
TEHRAN (IQNA) – Mwito unapowaalika watu kumwamini Mwenyezi Mungu, wapo wanaofuata wito na kunakuwa na umoja miongoni mwa wanaoukubali wito huu.
Habari ID: 3476709 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/15
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran
TEHRAN (IQNA) - Mkuu Duru ya 30 ya Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tehran amesema mawaziri wa wakfu na utamaduni wa nchi saba watatembelea tukio hilo la Qur'ani.
Habari ID: 3476703 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/14
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Serikali imekubali kuchangia USD 450,000 kwa Jumuiya ya Kitaifa ya Taasisi za Kuhifadhi Qur'ani Tukufu (Tahfidh Al-Quran) ili kuwezesha taasisi za tahfiz nchini, amesema Naibu Waziri Mkuu Datuk Seri Dk Ahmad Zahid Hamidi.
Habari ID: 3476697 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/12
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Toleo la 9 la Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa Waislamu wa barani Ulaya yataanza Ijumaa mjini Hamburg, Ujerumani.
Habari ID: 3476681 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/09
Qurani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Sherehe ilifanyika katika mji wa Giza, Misri, kwa ajili ya kuwaenzi wasichana ambao wamejifunza Qur’ani Tukufu kwa moyo kikamilifu.
Habari ID: 3476677 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/08
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudia imesema inapanga kusambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu katika lugha tofauti katika nchi 22.
Habari ID: 3476673 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/07
Qiraa ya Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya watu walihudhuria mahafali ya kusoma Qur’ani Tukufu iliyofanyika Bangladesh ambapo qari wa Misri Mahmoud Kamal al-Najjar alisoma aya za Kitabu kitakatifu.
Habari ID: 3476667 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/06
Askofu Mkuu wa Vienna
TEHRAN (IQNA) – Askofu Mkuu wa Vienna anasema kumtusi Mtume Muhammad (SAW) pamoja na kuvunjia heshima Qur’ani Tukufu ni mambo ambayo hayawezi kuhalalishwa kwa kisingizio cha uhuru wa kujieleza.
Habari ID: 3476652 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/03
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Muda wa mwisho wa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya 'Miujiza ya Qur'ani na Sunnah' umeongezwa kwa miezi miwili, kwa mujibu wa waandaaji.
Habari ID: 3476646 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02
Umoja wa Waislamu
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, amesema Waislamu duniani kote wanapaswa kuungana chini ya bendera ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476640 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Baraza la Dunia la Ahl-ul-Bayt (AS) alisisitiza haja ya kuandaa vikao vya Qur’ani katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Ahl-ul-Bayt (AS) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476638 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /33
TEHRAN (IQNA) – Luqman alikuwa mwanachuoni aliyeishi zama za Nabii Dawoud na alijulikana kwa elimu yake kubwa, hekima na ushauri wake wa kimaadili kwa mwanawe.
Habari ID: 3476637 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/28
Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu /21
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abd al-Hamid Kishk alikuwa mhubiri wa Misri, mfasiri wa Qur'ani, msomi wa Uislamu, mwanaharakati, na mwandishi. Alikuwa miongoni mwa wahubiri mashuhuri katika ulimwengu wa Kiislamu na ameacha turathi ya hotuba zaidi ya 2,000.
Habari ID: 3476635 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Waziri Mkuu wa Malaysia ametetea mpango uliopendekezwa wa kuchapisha nakala milioni 1 za Qur'ani Tukufu kwa lengo la kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3476634 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Mashindano ya Qurani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Kiirani ameshika nafasi ya kwanza katika toleo la sita la Tuzo ya Katara ya Kuhifadhi Qur’ani nchini Qatar.
Habari ID: 3476633 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Maonesho ya Qur’ani Tukufu yamezinduliwa katika Chuo Kikuu cha Alkafeel katika mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3476632 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27
Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Pulaar, ambayo inazungumzwa Afrika Magharibi, inatazamiwa kuwasaidia wanaozungumza lugha hiyo ambayo pia inajulikana kama Fulfulde.
Habari ID: 3476622 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Mtaalamu wa Qur'ani Tukufu kutoka Kuwait ambaye alikuwa katika jopo la majaji wa kitengo cha wanawake cha Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema mashindano hayo yanaweza kuwa mfano wa kuigwa na nchi zingine ambazo huandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476619 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/24