qurani tukufu - Ukurasa 37

IQNA

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi tatu za kimataifa za mtandaoni zinazojumuisha masomo ya Qur’ani Tukufu zimeandaliwa huko Karbala, Iraq.
Habari ID: 3479900    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/15

Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

IQNA - Ismail Ma Jinping alikuwa mwalimu wa Kiarabu nchini China ambaye alitafsiri Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kichina.
Habari ID: 3479897    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14

Harakati za Qur'ani
IQNA – Binti Muirani aliyehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu amesema kwamba katika kujifunza Quran kwa moyo, talanta au kipaji  ni muhimu lakini muhimu zaidi ni uvumilivu na ustahamilivu.
Habari ID: 3479890    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

Qur'ani Tukufu
IQNA - Nakala za Qur'ani iliyoandkwa kwa maandishi ya mtindo wa kaligrafia ya Uthman Taha itachapishw nchini Iraq kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3479886    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10

IQNA - Washindi wakuu wa toleo la 32 la Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametajwa.
Habari ID: 3479882    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

IQNA - Qari kijana ambaye anashiriki katika toleo la 47 la Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani ya Iran amesema mafanikio yake ya Qur'ani ni baraka kutoka kwa Allah (SWT).
Habari ID: 3479880    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/09

Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Mhifadhi wa Qur'ani wa kike amesema Qur'ani imemjengea subira na ustahimilivu katika kukabiliana na changamoto mbalimbali.
Habari ID: 3479877    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/08

Diplomasia ya Qurani
IQNA-Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa uamuzi wake wa kuanzisha Akademia ya Qur'ani jijini Dar al-Nur na kuahidi kutoa ushirikiano unaohitajika katika uwanja huo.
Habari ID: 3479865    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06

Ahlul Bayt (AS)
IQNA – Wafasiri wa Qur’ani wanaamini kwamba aya 130 za Qur’ani Tukufu  zinamhusu Bibi Fatima (SA) na familia yake, mwanachuoni wa Kiislamu amesema.
Habari ID: 3479863    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/06

Qur'ani Tukufu
IQNA - Marwan Abdul Ghani ni mvulana wa Misri ambaye ana tawahudi lakini ameweza kusoma na kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479856    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/05

Harakati za Qur'ani
IQNA – Hafidh wa Qur'ani ambaye pia ni mwanazuoni wa Kiislamu ametaja sifa nyingi ambazo anaamini ni muhimu kwa qari kuwa nazo kwa ajili ya usomaji wenye taathira.
Habari ID: 3479852    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/04

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya 31 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Misri yatang'oa nanga katika mji mkuu Cairo wikendi hii.
Habari ID: 3479848    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Harakati za Qur'ani
IQNA - Qari mashuhuri wa Iran Hamid Reza Ahmadivafa anashiriki katika kongamano la 23 la kimataifa la Usomaji wa Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh.
Habari ID: 3479846    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/03

Qari Mashuhuri
IQNA - Mtoto wa qari mashuhuri wa Misri Abdul Basit Abdul Samad amesisitiza mapenzi ya baba yake kwa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3479842    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02

Qur'ani Barani Afrika
IQNA - Sherehe ilifanyika mapema wiki hii kuwatunuku washindi wa mashindano ya 11 ya kitaifa ya Qur'ani Mauritania.
Habari ID: 3479832    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/01

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kituo cha Qur'ani kinachoitwa  Akademia ya Qur'ani ya Dar An-Nur kitazinduliwa Dar es Salaam, jiji kubwa zaidi la Tanzania, hivi karibuni.
Habari ID: 3479827    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/30

Waislamu Duniani
IQNA - Rais wa Shirikisho la Waislamu wa Korea (KMF) amepewa zawadi ya nakala ya Qur’ani Tukufu yenye tarjuma za Kiingereza na Kikorea.
Habari ID: 3479820    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/28

Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi ya Qur'ani Tukufu iliyofanyika kwa wanawake kutoka Mkoa wa Babil wa Iraq ilifikia tamati kwa sherehe iliyofanyika katika mji mtakatifu wa Karbala.
Habari ID: 3479817    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27

Qur'ani Tukufu
IQNA – Maqari watano wametakiwa kufika kwenye Jumuiya ya Wasomaji na Wahifadhi wa Qur’ani nchini Misri kwa ajili ya qiraa ya Qur'ani ambayo imeonekana kutozingatia nidhamu na heshima.
Habari ID: 3479812    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/26